Dhana ya uongo kuhusu Spika Ndugai

We jamaa uliyeleta hii post hata hizo habari za kukatwa vidole ni wazi ulikuwa hujasoma. Habari hizo ni kuwa amekatwa vidole vya miguuni. Je umehahakisha kuwa anavyo? Pili bunge lilificha taarifa ya kuumwa kwake na baadae wanasema alikuwa matibabu je hao si ndiyo wazushi? Si ni walewale walisema viongozi watibiwe mhimbili?
Kwanza imekuwaje unasema vidole vya mikono na si vya miguu?
 
Hiyo bado ni sawa tu. Mbona wasomi haohao tena wenye dhamana ya mamlaka ya kiserikali walizusha kuwa Lowasa alikuwa anajinyea na hukulalamika?
 
Asante sana kutoa hoja.
 
Haya maswali kumuuliza mtoa mada unamuonea bure. Yeye alikuwa anatimiza kaz yake
 

Wewe uliyeamini hayo na ukakaa kusubiri kukagua vidole ndiyo passive thinker.......
Critical thinkers hawakuamini na wakakaa kimya.......
 
Walisema vya miguu na sio vya mikono. Nimewasilisha tu
 
Sasa mbona unajikanganya? Hujaeleweka hapo, kwani Rais ameshaitwa na uhamiaji kuhojiwa?
 
Wewe nawe! Unasadifu hoja yangu kuhusu passive thinker.

Kwani nafasi ya mbele alikuwa Diamond.

Unasikia tu kwenye mitandao bila kutafuta ukweli halafu unabeba na kufanya hoja.
Alikaa nani nafasi ya mbele?
 
Watu hao mara nyingi Huwa wana chuki... Wanataka uhuru wa kujieleza lakini ukitofautiana nao tu, una chezea block! Ha Ha Ha
Na huwa anajiita mtetezi wa demokrasia ila ulimkosoa tena kwa ustaarabu mkubwa bado atakublock, kosa lake kakalilishwa na hajui alisemalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…