Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 2,092
Nimemsikia Mkuu wa operation ya kuwasaka wahusika wa madawa ya kulevya kupitia taarifa ya habari ya ITV akisema sio vzr kuwataja watuhumiwa wa madawa ya kulevya. amedai kesi 48 zimefunguliwa. sasa naomba tuelimishane juu ya kauli hiyo, kwa nini zinaendeshwa kwa usiri mkubwa ikilinganishwa na kesi nyingine kama za wanasiasa, ufisadi nk?