Dhana ya Si ruhusa kuwataja watuhumiwa wa madawa yakulevya imekaaje?

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Nimemsikia Mkuu wa operation ya kuwasaka wahusika wa madawa ya kulevya kupitia taarifa ya habari ya ITV akisema sio vzr kuwataja watuhumiwa wa madawa ya kulevya. amedai kesi 48 zimefunguliwa. sasa naomba tuelimishane juu ya kauli hiyo, kwa nini zinaendeshwa kwa usiri mkubwa ikilinganishwa na kesi nyingine kama za wanasiasa, ufisadi nk?
 
Juzi nimeskitishwa kusikia dancer mmoja wa diamond alieoa bingo movie anaitwa fusso jinsi anavobeba madawa kilo kwa makilo na kapigiwa simu kawekwa loud speaker anasema kwa kujigamba kama yuko njemaa tumeozaa jaman kwa madawa na watu wanajulikana mpaka maabara za majumbani zajulikana na mpaka posho wakubwa na plisi wanachukua na kusidikiza aaahhh acheni tu
 
Unamaanisha Moses Iyobo Mme wa Uncle Ezekiel?
 
Juzi nimeskitishwa kusikia dancer mmoja wa diamond alieoa bingo movie anaitwa fusso jinsi anavobeba madawa kilo kwa makilo na kapigiwa simu kawekwa loud speaker anasema kwa kujigamba kama yuko njemaa tumeozaa jaman kwa madawa na watu wanajulikana mpaka maabara za majumbani zajulikana na mpaka posho wakubwa na plisi wanachukua na kusidikiza aaahhh acheni tu
Una point ila siku nyingine andika kama msomi, humu sio fb
 
  • Thanks
Reactions: ydn
hapo na mimi nina doubt mkuu...kwanini wasitajwe au ndo tunawaogopa wauza UNGA..
 
aiseee IYOBO na shobo zoote zile kumbe PUNDA? this world is not fair!.daaah hatari
 
Juzi nimeskitishwa kusikia dancer mmoja wa diamond alieoa bingo movie anaitwa fusso jinsi anavobeba madawa kilo kwa makilo na kapigiwa simu kawekwa loud speaker anasema kwa kujigamba kama yuko njemaa tumeozaa jaman kwa madawa na watu wanajulikana mpaka maabara za majumbani zajulikana na mpaka posho wakubwa na plisi wanachukua na kusidikiza aaahhh acheni tu
Kuna mtoto kwao ni familia ya watabe wa flour

Jinsi alivyokuwa ananisimulia wakubwa wanaohusika na haya flour tena na evidence

Vita ya drugs Tanzania haiwezi kuisha tena haiwezi kuisha ,labda miaka 3000 mbele
 
Yaaah ndio yy bila kuficha dogo anaenda south na kurud kama vile chooni kwa kupeleka madawa sio kwa kuambiwa ni kuthibitisha
mimi nilishangaa... Aunt akolee kwa mkata mauno... Wakati yeye Al maarufu "sura ya pesa"...alafu dangote wa kuchorwa alimuwakia dimpoz ili asiseme mengi anayoyajua.. Nawaza aaahhh
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom