Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,724
- 830,781
- Thread starter
- #61
Roho ni energy inafika popotemshana jr hivi mtu mfano amekufa mwanza, ila makazi yake wakati wa uhai yalikuwa Dar, na akazikwa Mbeya bila kupita Dar (naamini makazi ya roho yake yatakuwa ni mbeya), je roho hiyo inaweza kufika nyumbani Dar?? (Kabla ya mazishi na hata baada ya mazishi)
Sent using Jamii Forums mobile app