Mh mkuu mm naona kuna roho zinazotanga tanga hizi zipo nying ambazo pia hutembea na kutafuta sehem tuliv angalizoPale majivu yake yanapohifadhiwa ndio nyumba yao ya milele
Ilete fasta mkuu kuna maswali huwa najiuliza mpaka natamani kufa saiv ili nipate majib mujarabu mpaka najishangaa hivi mimi mzima kweli

Jina lako linaendana na mawazo yakoNikifikiria nikifa ntaoza.uwa nachoka nafsi na mwili.
Yaan naogopa kuozaaa.
Jina lako linaendana na mawazo yako
Hukumu sio sasa ndio maana kwa imani yako hiyo unaambiwa kuna mwisho wa dunia ama kiamaNanyi na "contradiction" zenu juu ya imani za dini, hasa hizi simulizi za yatokeayo baada ya mtu kufariki.
Wengine imani zao wanatusomesha kama unavyotaka kutuaminisha wewe kuwa kaburi huhukumu, kaburi huadhibu, kaburi ndiyo makazi ya milele.
Wengine wanatufundisha kuwa mwili uzikwapo ndiyo sehemu roho itarudiana na mwili siku ya kiama.
Wewe umesema roho hubaki makaburini milele. Je mambo ya kuzimu na ahera, yamekaaje katika somo hili, iwapo roho hubaki ikizagaa makaburini ni muda gani hiyo roho kwenda kuonana na Mola wake ama kutupwa jehanamu kutumikia hukumu?
Maana sasa ni mkanganyiko wa ukweli.
Roho zinazotangatanga hazilindi na huvaa maumbo tofauti ya wanyama ama binadamu...Kama unavyoona huku kwenye ulimwengu wa macho kuna watoto wa mitaani hata huko piakuna maelfu ya roho zinatangatanga ina maana hatuzooni? je wao wanatutambua?wana uwezo wa kutulinda eg wazaz
hio ipo hata kwa wengine..gata sisi kijijn kwetu kuna nyumbq kuu ya ukoo na nyuma kuna uwanja mkubwq sana makaburi ya memba wote wa ukoo wapo hapo...Kumbe ndo maana ajir barabarani haziishi. Mfano kwetu tunazika karibu na nyumba au pembeni kidogo yaan kwenye mazingila mbele ya nyumba.
Sasa hawa wa barabara nasikia nyumba zilizowekewa x zinabomolewa na makaburi kuhamishwa sasa barabara itakayojengwa hapo unategemea nn? Sijui kwetu itakuwaje maana ni desturi makaburi yote yako mbele ya nyumba na nyumba waliweka x. Hiyo kweli kusumbua marehemu ajari hazitoisha.
Sehemu yoyote palipokuwa na makaburi kisha pakafanyiwa uwekezaji mwingine, vituko, mabalaa na vibweka huwa haviishinimesoma shule ya msingi ambayo kilikuwa kinapita kimbunga kila ijumaa mida kama ya saa sita kasoro, siku moja ulipita upepo mkubwa ulioezua majengo mengi ya madarasa na kuleta madhara hadi tukatangazwa RTD miaka ile,
ilisemekana shule ilijengwa juu ya makaburi, kuna mambo waliweka sawa saivi hakuna tatizo mshana jr