kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 41
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.