Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Kuna perception inayojengeka kwamba utumbuaji wa majipu hauwahusu kabisa wanasiasa ambao ndio hasa walioifikisha nchi kuitwa "Shamba la Bibi!"
Hata hivyo, Watu walitoa "benefit of doubt" kwa kuwa "mtumbuaji" bado hajakabidhiwa rungu ili kuanza kazi hiyo!
Lakini katika Hali ya kushangaza "mtumbuaji" ameonesha kuwa huo mpango wa utumbuaji Hana na amedai kuwa sio vizuri "kufumua makaburi!"
Ni Kama vile "mtumbuaji" anaonesha kwamba wanasiasa, hasa wa Chama chake ni "untouchable " Kama alivyo yeye mwenyewe!