Dhana ya kuombewa

Hivi wenye shida za kimwili ndo wakoje? Msaa kwenye tuta.
 
Kuna Kila dalili kuwa watu wanaogopa wasichokijua
 
Huyu mtu ana maajabu sana, hivi mtu anakuja kwako kama jambazi, mbabe, katili hakusikilizi shida zako halafu anakuambia umuombee?! Mtu mbabe anapiga push ups ukimuangalia halafu akisimama anakuambia niombee? Hakuna unyenyekevu hata wa kinafiki?! Ngumu kuomba.
 
Kaka pengine ana maana nyingine kuliko hii
 
Mkuu nimekuelewa na nadhani kuendelea kumuombea au kuombwa kumuombea asiye na utu moyoni mwake ni wewe mwombaji kujiletea balaa na kumkashifu muumba ambaye huwa hadhihakiwi hata siku moja.Daima mungu hutoa neema na baraka kwa wanaostahili na ikiwa huyu mwenye kuhitaji kuombewa hana alichofanya kwa jamii inayomzunguka,kumuombea ni sawa na kazi bure.Nawaza kwa sauti.
 

Inabidi kumwombea ili Mungu amlipe kwa kadri ya matendo yake! Walotumbuliwa ndo watakuwa mstari wa mbele katika kumwombea, japo na raia wa kawaida wanateseka kwa maamuzi ya mtu mmoja.
 

Mkuu mshana jr ungeweka wazi haukubaliani na ombi la mwenyekiti wa chama kuomba kuombewa huku anasurubu wananchi wake
 
Kuna jamaa alituomba watanzania tumuombee ana uhakika mbinguni na duniani mana kuna mtu alipanga mbinu za ugaidi ile kesi iliishia kutupiliwa mbali yaan kuna mambo mengi ambao inabidi tuwe serious kumuomba Mungu sio haya wanayotuambia!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…