Isaya Nehemia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 555
- 452
Hatari!!Ninachokifahamu mimi ni kwamba baba akichepuka anaweza kumbemenda mtoto na mama pia akichepuka anaweza kumbemenda mtoto. Ki sayansi ki ukweli sijui na ndo maana mtoto aliyebemendwa hata akipatiwa dawa za hospital haziwezi kumsaidia but za kienyeji zinamponesha kabisa
Sina hakika kuwa kwa wenzetu wazungu haya yapo nahisi kubemenda yawezekana ikawa moja ya AFRICAN disease ambayo ki sayansi huwezi kuipata.
Hii nayo inaleta mantikiMtoto anabemendwa na mama yake.
Kisayansi sperms au shahawa zimeundwa na vitu vingi na mojawapo vinacontain virus. Virus huyu akiingia kwa mwanamke anajipachika kwenye kuta za ukeni na kuweka terirory hapo.
Sasa inapotokea mwanaume mwingine akaingiza humo virus wake wengine husababisha vita kubwa ya kugombea makolini ambayo hii husababisha virus weak wauwawe ili wale wengine wapate pa kukaa ambapo direct huweza kusababisha magonjwa kama UTI, harufu mbaya ukeni n.k
Pia sperm zinapomwagwa huwa na kawaida ya kulegeza mwili ..... na husababisha mabadiliko ya mwili. Kama mama ananyonyesha mtoto wake hunyonya maziwa yaliyochanganyika na hivyo vimelea ambapo kama sivyo vilivyomtengeneza mtoto (baba yake) huweza kumletea shida.
Kinamama wanaknyonyesha wanapaswa kuwa wasafi muda wote
Kabla ya kuendelea kukuhoji kuhusiana na ulichokiandika ambacho mimi nakiita ni sayansi feki,unaweza kuwataja kwa jina, hao virusi wanaotengeneza shahawa?.Mtoto anabemendwa na mama yake.
Kisayansi sperms au shahawa zimeundwa na vitu vingi na mojawapo vinacontain virus. Virus huyu akiingia kwa mwanamke anajipachika kwenye kuta za ukeni na kuweka terirory hapo.
Sasa inapotokea mwanaume mwingine akaingiza humo virus wake wengine husababisha vita kubwa ya kugombea makolini ambayo hii husababisha virus weak wauwawe ili wale wengine wapate pa kukaa ambapo direct huweza kusababisha magonjwa kama UTI, harufu mbaya ukeni n.k
Pia sperm zinapomwagwa huwa na kawaida ya kulegeza mwili ..... na husababisha mabadiliko ya mwili. Kama mama ananyonyesha mtoto wake hunyonya maziwa yaliyochanganyika na hivyo vimelea ambapo kama sivyo vilivyomtengeneza mtoto (baba yake) huweza kumletea shida.
Kinamama wanaknyonyesha wanapaswa kuwa wasafi muda wote
Kuna research yoyote ulifanyika juu ya hili jambo au umejibu kwa hisia?Mtoto anabemendwa na mama yake.
Kisayansi sperms au shahawa zimeundwa na vitu vingi na mojawapo vinacontain virus. Virus huyu akiingia kwa mwanamke anajipachika kwenye kuta za ukeni na kuweka terirory hapo.
Sasa inapotokea mwanaume mwingine akaingiza humo virus wake wengine husababisha vita kubwa ya kugombea makolini ambayo hii husababisha virus weak wauwawe ili wale wengine wapate pa kukaa ambapo direct huweza kusababisha magonjwa kama UTI, harufu mbaya ukeni n.k
Pia sperm zinapomwagwa huwa na kawaida ya kulegeza mwili ..... na husababisha mabadiliko ya mwili. Kama mama ananyonyesha mtoto wake hunyonya maziwa yaliyochanganyika na hivyo vimelea ambapo kama sivyo vilivyomtengeneza mtoto (baba yake) huweza kumletea shida.
Kinamama wanaknyonyesha wanapaswa kuwa wasafi muda wote
Siwezi kuongea hisia nikataja virus.Kuna re
Kuna research yoyote ulifanyika juu ya hili jambo au umejibu kwa hisia?
Nakuuliza tena hili swali; jina la hao virus wanaotengeneza sperm ni lipi?.Siwezi kuongea hisia nikataja virus.
Kasome composition ya sperm na jinsi wanafanya wakiingia kwenye vagina
"..Good Asipokuelewa na hapa mtafutie mwalimu"Ngoja nijaribu na sayansi yangu ya darasa la 7B.
Kwanza jua mtoto ana bemendwa na mama yake.
Na kikubwa zaidi kinachofanya mtoto abemendwe ni uchafu na sio sex peke yake.
Fikiria mama anapika kwenye jiko la kuni.. Mimoshi kibao.. Majasho... Na wakati huo ametoka pia kuchota maji... Ghafla mtoto anaanza kulia.. Na yeye kwa huruma anamchukua na kumnyonyesha.. Jasho lote, moshi wote wa mwili na uchafu mwingine ambao pia upo kwa nje kwenye maziwa, mtoto ana nyonyaa.. Unadhani ukuaji wake utakuwaje!??
Fikiria baba na mama wana sex... Pembeni mtoti kalala... Baba kuonesha ufundi ataingia hadi chumvini... Tena na wengine wananyonya hadi 0713 ya mama.. Zen baba huyuu ataamia kwenye kunyonya matiti ya mkewe.. Au kuyaramba kwa nje.. Kumbuka mdomo huo huo umenyonya mbele na nyumaa.... Zen wanaanza ka mchezo.. Majasho kibao.. Ghafla mtoto analia... Mama anamchukua na kuanza kumnyonyesha.. Mtoto huyu atanyonya jashovl, uchafu wa mbele na wanyuma.. Maana baba naye alinyonya hilo ziwa.. Je unadhani bado mtoto anakuwa na afya njema kweli!?
Ntarudi tena baadae...
Kubemenda ni dhana iliyojikita zaidi kwenye imani kuliko sayansi.Tatizo ni hilo neno kubemenda limekuwa na maana mbalimbali kwa masikio ya watu . Wale wenye ndoa na watoto na wale wasio na ambao hawajaingia ndoani.
Katika hayo yote nadhani shida ni hormones tu..
Mwisho wa sayansi yangu ya darasa la 7A
Mi nadhani hii tuipe jina la lugha ya kigeni ili twende sawa.. Nadhani kwa lugha ile iliyokuja na ndege tungeita RETARDED GROWTH....Tatizo ni hilo neno kubemenda limekuwa na maana mbalimbali kwa masikio ya watu . Wale wenye ndoa na watoto na wale wasio na ambao hawajaingia ndoani.
Katika hayo yote nadhani shida ni hormones tu..
Mwisho wa sayansi yangu ya darasa la 7A
Unajua dhana halisi ya mheshimu ni kudadavua zaidi na kutuachia hamisaa ya kufanya reseaech zaidi.Kabla ya kuendelea kukuhoji kuhusiana na ulichokiandika ambacho mimi nakiita ni sayansi feki,unaweza kuwataja kwa jina, hao virusi wanaotengeneza shahawa?.
Sio marasimasi hioMi nadhani hii tuipe jina la lugha ya kigeni ili twende sawa.. Nadhani kwa lugha ile iliyokuja na ndege tungeita RETARDED GROWTH....
Kubemenda imekaa kizaramo zaidi...
Lakini maana halisi ni makuzi duni kwa mtoto..
Sasa hapo sababu zipooo nyingi saaanaa.. Ikiwemo na suala zima la lishe...
Shkamoo mzeeMleta mada najua una kiu sanaaaaa so we nenda kapige show zako na uoge usiwapelekee majasho yako na mauchafu yako sasa kama unezoea zile guest za kaki jua hakuna maji hukoooooo
Si Mama Wala Baba Akichepuka Mtoto Abemendwi Labda Kwa Imani Za Kishirikina Lakn Si Kwa Sayansi. Jambo La Msingi NiUsafi Tu Hata Akitoka Nje Mara100 Kwa Siku.Hatari!!
Neno Jema Sana Mkuu.Sina uhakika na maana ya kubemendwa lakini nilichokuja kuelewa mababu zetu walikuwa na miiko na taratibu ambazo wengi wetu hatuzikubali au hatuzielewi hivyo tunazitupilia mbali. Mifano:
1. Kubemenda - hapa kuna mawili moja kukataza michepuko na pili kama mtoto anaweza kupata hiv/AIDS kupitia maziwa ya mama pengine kuna virus au bacteria wengine wanaoweza kupenya the same way.
2. Alipozaliwa mtoto anayefanana na baba jirani walisema mzazi alimpitia nyuma alivyokuwa na ujauzito. Hapo ni kwamba kuna kamchezo kalichezwa
3. Watoto wachanga wanakaa ndani siku 7 minimum. My take on this watoto wanapozaliwa kinga huwa ndogo kumuexpose kwa watu mbali mbali, harufu nyingi zinamuathiri mtoto.
Kuna miiko mingi, mingine wanaharakati wanaipinga kama vile vyakula walivyokatazwa wanawake nk. Lakini hawatuelezi kwa nini uzazi umekuwa mgumu hivi.
Wito kabla ya kudisregard haya mapokeo tuyatazame kivingine labda yatakuwa na maana.