mkuu mleta maada
Al asaad naomba nikujibu kama ifuatavyo
Especially kwa hii argumentation yako
Cha kushangaza wanakuja na simple argument eti mwanaume ni jukumu lake kuhudumia tena kwa kulazimisha(shinikizo la kimapenzi) pia ni one direction flow of serves, eyi wanawake punguzeni hayo mawazo potofu maana najau kuacha kabisa humuwezi kumbukeni tupo zama za ubepara (if you don't work, you don't earn anything)
iko hivi mkuu kama wewe ni muumini mzuri wa kusoma kitabu kitakatifu na imani yako inasimamia hapo naamini utakubaliana na mimi
From the beginning since Adam na mkewe Hawa walivyoharibu kwenye bustani ya edeni Mungu aliwagawi majukumu yao pale pale
wanaume wakiwakilishwa na Adamu walipewa jukumu la kula kwa jasho ikimaanisha watakuwa provider na hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa japo leo mambo ni tofauti kidogo
Wanawake walipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu and that's what happening to date wanawake wanalitimiza hasa jukumu lao as uchungu wanaoupata wakati wa kuzaa wanaujua wao tu and men cannot understand this coz hawajawahi kuexpirience hii kitu
kwa sababu hiyo mkuu sio simple argumentation kutoka kwa wanawake ni utaratibu tu
na ninachokifahamu kwa wanaume ambao wanalielewa hili kwao sio shida hata kidogo kuprovide for their wives coz wanafahamu fika ni wajibu wao
Pili unaposema if you don't work you earn nothing unamaanisha nini mkuu?Je wanawake hukaa tu?
Je kumaintain nyumba katika hali ya usafi,kuosha vyombo kukufulia,kukupikia,kukaribisha wageni sio kazi?
Je kuwa tayari kuvumilia uchungu ili wewe uitwe baba is not something worthy earning your provision to your wife?
Je kukaa na kutunza watoto wako mpaka kukua na kujitambua sio kazi?
Je kukupa wewe comfort kutokana na kazi ngumu unazofanya,kutoka kazini na kukuta una mahali pasafi pa kupumzikia,chakula kitumu cha kukufurahisha,mikono mizuri ya mke wako na maneno matamu ya mke wako kukutuliza na stress zako za siku nzima sio kazi?