HoneyBee
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 912
- 864
Hawaa ni viumbe dhaifu toka enzi...pambana na hali zao..!
HAHAHAHA. Mama yako ni dhaifu pia au? How does this logic work exactly.
Hawaa ni viumbe dhaifu toka enzi...pambana na hali zao..!
Wew n me au ke ....naona unanikamia.HAHAHAHA. Mama yako ni dhaifu pia au? How does this logic work exactly.
Wew n me au ke ....naona unanikamia.
...iyo ipo waz
Mama yake pia ni mwanamke. Tunaposema mwanamke ni dhaifu hatumaanishi kuwa hana uwezo wa kufanya jambo fulani la hasha,HAHAHAHA. Mama yako ni dhaifu pia au? How does this logic work exactly.
HAKI SAWA is overrated!Kichumi, kisiasa etc. ni tofauti ni kimapenzi. You can separate everything , na si kila anachotaka mwanamke A kinafanana na mwanamke B.
Kwa kifupi, wanawake wanataka uhuru wa kuchagua wanachokitaka maishani. Why should I live my life based on what a man says I should or should be? What I can or can't do? Watu wanatoaga mifano kama "kwahiyo mnataka wanaume wazae pia? ", which is literally nonsense.
Women can do more than cook, clean, have your babies and be there for your pleasure. We have hopes and dreams and demand that you respect them. Is that so hard to understand?
Usawa baina ya mwanamke na mwanaume utapatikana endapo tu mwanaume ataanza kuziona siku zake......
HAKI SAWA is overrated!
Ladies, if you want something fight until you get it. Stop seeking for sympathy, cause that only shows how weak you are!
- KANA -
This phrase tends to irritate me every time I come across it."If given a chance"Naomba utambue kuwa wanawake, given the chance, would rather be independent than dependent on a man. Ukiona mwanamke hajitumi na ni tegemezi kwa mwanaume ujue hayo ni malezi aliyopewa na yanatokana na mazingira yanayowakandamiza wanawake kwa mfano, kukatazwa kuenda shule, kuchungwa siku nzima, kufungiwa ndani, kufundishwa jinsi ya kuhudumia wengine na si kujitegemea. Matokeo ni mwanamke anaeishi kutumikishwa na wengine.
Huo mfano wa sindano za ganzi sielewi, ina maani kutaka kupunguza maumivu wakati wa kijfungua ni ishu pia? Je ulishawahi sikia uchungu wa uzazi? Maumivu bado unayapata hata na hiyo sindano ( sijawahi tumia, lakini I will not judge those that opt to use it as a last resort). People die from child birth all the time, it's not a game.
Labda niulize , kinachomfanya mwanaume aitwe mwanaume ni nini hasa? What defines what constitutes male work /duties or female work/duties?
Kuhalisia mwanamke ni sehemu ya mwanaume kwani hata uumbwaji unatokana na kutoa spea kwenye mwili wa mwanaume.......
Mwanamke ni kiumbe mdogo sana kwa mwanaume hivyo basi haipaswi kushindana naye bali kumdharau tu......
Mwanamke ni kama mfupa uliopinda.....ambapo ukisema uunyooshe utauvunja.....na ukisema uuache kama ulivyo ni usumbufu kwako....so unatakiwa uishi naye kwa akili na sio nguvu.....
Mwanamke anapigania usawa ambapo hata yeye mwenyewe kwenye nafsi yake anajua kuwa haupo.......!!!
This phrase tends to irritate me every time I come across it."If given a chance"
Given by who?
What about men, who gave us the so called chance?
Mara nyingi badala ya kupigania haki za wanawake hua mnaishia kupigania upendeleo kwa wanawake!
- KANA -
Your reply is another good description of how weak the female gender is!Why do you feel the need to tell me what is or isn't overrated? If I say I would like to work x hours, earn x amount and live in x location, marry at x, have x many children and have my partner have xyz qualities, is that such a terrible thing?
Equal right is about CHOICE.
Enzi za zamani walikuwa hawahesabiwi hawa.....mi hata safarini nikifuatana na mwanamke najihesabu nasafiri na mtoto au peke yangu kabisa. Ukiwawazia ni watu kamili utaumia kichwa....hawa ni viumbe wa ajabu sana.
Sukari Yenu
How does that make me weak?Your reply is another good description of how weak the female gender is!
Opinions are like noses, we all have one! Its not a crime when other people give out their opinions on what you do or what you believe!
I like honey, I hate the bees!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
- KANA -
Wewe.......naomba namba yako nikutumie japo vocha kama pongezi najua hauna shida ila kwa maneno haya huku kwetu ulitakiwa uweke kikapu mbele yako tutumbukize hela kukupongeza......Kataka uchunguzi wangu usio rasmi nimegundua mara nyingi wanawake huwa wanataka haki sawa kama wanaume katika nyanja zote za kimaisha, I means kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Ila kinachonishangaza katika suala la mahusiano wanataka wa-treat
-iwe kama special group, sijajua kwa nini. Maana ikiwa una mpenzi wako wa kike(ukiondoa mke) atataka umuhudumie kama mlemavu yaani chakula, mavazi, malazi na vatu vingi vya anasa.
Cha kushangaza wanakuja na simple argument eti mwanaume ni jukumu lake kuhudumia tena kwa kulazimisha(shinikizo la kimapenzi) pia ni one direction flow of serves, eyi wanawake punguzeni hayo mawazo potofu maana najau kuacha kabisa humuwezi kumbukeni tupo zama za ubepara (if you don't work, you don't earn anything)