Dhana ya future Buddha(milefo) katika Buddhism

Happy Buddha mpenda kula inaaminika kuwa kuna wakati utafika watu wote watakuwa na furaha baada ya kujifunza kuielewa na kuikubali Buddhism ndio hapo dunia itakuwa sehemu ya furaha amani na upendo...kimbembe ni huo muda
Yalee yalee katika ukristo kuna wakati dunia itakua na amani amani amani, au katika uislam ujio wa Issa bin Maryam atakaa na kuoa kabisaa.
Imani hizii[emoji27] [emoji26] ...chukua linalofaa linalotatiza liache kama lilivyo.
 
Hapa umenikumbusha kitabu cha the river between, Mugo wa Kibiro alipopredict ujio wa white pipo na kuwashauri wafuate elimu watakayopewa ila wasifuate utamaduni wao.
Ni sawa na budha naona wanamafundisho mazuri lakini sio yoote. Yasioyofaa mwachie Goutam na jamii yake[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] .
 
Mabuddhist wengi ndani ya nyumba zao na kwenye biashara hupenda kuweka hizi shrine na kuweka vyakula au chochote kabla hawajatumia wenyewe
Huwa naona hata kwa wahindu wanaoffer sweet to their Lord Krishna, tena wanasema Krishna alipenda saana butter. Imani.
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna picha nilipiga na statue ya future budha pale Leishan city china... Jamaa anamasikio makubwa hatari
 
nimewai kujaribu kama siku mbili hivi, oooh ni ngumu sana ile mana wanasema inatakiwa mind iconcentrate kweny one thing bt mi nlikua nawaza hadi kipolo cha ubwabwa mpka mpira wa ulaya, yn kwa kweli nlishndwa sijui nitumie njia gan aisee.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji28] [emoji38] [emoji28] [emoji38] [emoji28] [emoji38] [emoji28] [emoji38] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38] [emoji28] [emoji38] [emoji28] weee nomaaa
 
Huwa naona hata kwa wahindu wanaoffer sweet to their Lord Krishna, tena wanasema Krishna alipenda saana butter. Imani.
Hahhahahaaaa krishna mroho...kiukweli tetee linapokuja suala la imani hakuna imani hata moja inayokosa mapungufu
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana kuna picha nilipiga na statue ya future budha pale Leishan city china... Jamaa anamasikio makubwa hatari
Hahhahahaaaa na mashavu na kitambi
 
Poa mkuu am waiting
Ok ok ila wakati unasubiri meditation kwa kiswahili ni tahajudi au tafakuri jadidi
Kuna mikao inayofaa kwa tahajudi kuna mkao lotus(lotus position
Lakini vile vile kuna mkao wa kusimama na kutembea. ..ngoja nitarejea kwa ufafanuzi wa kina
 
Shukrani mkuu mshana
 
Hahhahahaaaa krishna mroho...kiukweli tetee linapokuja suala la imani hakuna imani hata moja inayokosa mapungufu
Uwe na akili ya kujiongeza tu ndio ujanja. Pia kuna Ganesha (sanamu ya tembo kapambwa na vito vya dhahabu)jamani huyu wanamzamishaga baharini /ziwani. Hapa nilikua naona (documentaries) wazee wa fursa hawachezi mbali. Wakishawazamisha ma Ganesha wao waondoka basi vijana wale wanaingia majini kusaka dhahabu na wanafanikiwa [emoji28] [emoji28] wanawaeza pata pesa au pete au cheni chochote chenye thamani.
 
Nikiwa temple ya Nairobi kwenye wiki ya maadhimisho ya Krishna tuliwahi kutoka na hilo lisanamu la tembo kuanzia Nairobi mpaka Kampala wiki nzima
 
Nikiwa temple ya Nairobi kwenye wiki ya maadhimisho ya Krishna tuliwahi kutoka na hilo lisanamu la tembo kuanzia Nairobi mpaka Kampala wiki nzima
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wanakua wanazunguka nalo kama sanamu ya bikira Maria sijui inaitwa Bulabo! (Sina hakika ya jina).
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wanakua wanazunguka nalo kama sanamu ya bikira Maria sijui inaitwa Bulabo! (Sina hakika ya jina).
Huwa nawaambiaga watu usicheze na imani ya mtu....imagine hivi hapa nchini tunavyokula nyama ya ng'ombe halafu siku moja umkaribishe kwako mhindu anayeamini ng'ombe wote ni miungu halafu umlishe nyama yake kisha ajue..... ..!!!
 
Samahani mshana hivi wale wanaosali katika mahekalu yanayoitwa jamatini nao wanakuwa na masanamu ya Buddha.?
 
Mziki wake busara tu ndio itaamua. Kuna mtalii aligonga ng'ombe India weee weee..wanasema ng'ombe ni mama yao Mungu wao afu unamgonga [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mziki wake busara tu ndio itaamua. Kuna mtalii aligonga ng'ombe India weee weee..wanasema ng'ombe ni mama yao Mungu wao afu unamgonga [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hahhahahaaaa mungu anagongwa na kufa[emoji23] [emoji23] [emoji23] imani hizi
 
Samahani mshana hivi wale wanaosali katika mahekalu yanayoitwa jamatini nao wanakuwa na masanamu ya Buddha.?
Hapana kama ni hao ninaowafahamu hawana mahusiano na Buddha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…