Dhambi zilizozoeleka


Jr[emoji769]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ngono (sexual intercourse) ni tendo la mtu mme kumwingilia mtu mke kupitia vikojoleo vyao kwa lengo la kustareheshana. Uzinzi/uasherati ni aina ya ngono isiyopendeza au isiyokuwa harali machoni pa jamii/mataifa/wanadamu.

Jr[emoji769]
 
Mi nafikiri baadhi ya vitu tunavyodai ni dhambi pengine sio dhambi. Kwangu mimi kama kitu hakimuumizi/muathiri mtu mwingine kwa njia yeyote basi kitu hicho sio dhambi. Mfano:

1. Mimi nimekutana na mdada. Tumevutiana. Tunakubaliana kwenda kufanya mapenzi. Tunaenda tunafanya mapenzi, tunafurahi kila mtu anaondoka zake akiwa ameridhika. Hapo dhambi inakujaje...??

2. Nimetoka na marafiki zangu, tumekaa sehemu tunapata vinywaji. Tumelewa, tunapiga makelele, tunacheka balaa. Baadae kila mtu kaondoka zake kaenda home kulala. Hapo kuna dhambi gani...??

3. Niko zangu JF nasoma nyuzi mbalimbali. Nakutana na uzi wa kula mzigo kimasihara. Nausoma nacheka sana nafurahi. Namimi naamua kutunga stori yangu ya uongo (chai) naweka na sukari ya kutosha. Watu wanasoma, wanafurahi. Hapo kuna dhambi gani...????

4. Nimeboeka zangu geto sina cha kufanya, naingia zangu xvideos nacheki cheki picha na videos za ngono. Nalipua kimoja nafurahi zangu nalala. Hakuna alieniona, hakuna anaejua kama nafanya hivyo. Dhambi hapo ni ipi??
 
Mi nafikiri baadhi ya vitu tunavyodai ni dhambi pengine sio dhambi. Kwangu mimi kama kitu hakimuumizi/muathiri mtu mwingine kwa njia yeyote basi kitu hicho sio dhambi. Mfano: [emoji117][emoji117][emoji117][emoji144][emoji144][emoji144][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
3. Niko zangu JF nasoma nyuzi mbalimbali. Nakutana na uzi wa kula mzigo kimasihara. Nausoma nacheka sana nafurahi. Namimi naamua kutunga stori yangu ya uongo (chai) naweka na sukari ya kutosha. Watu wanasoma, wanafurahi. Hapo kuna dhambi gani...???? [emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
 
Waislam hao

Kwao dhambi ni kunywa Pombe na Kitimoto tu

Ila usengenyaji, uzinzi, uasherati na mengine si dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzinzi unatusababisha tuongezeke
Mimi katika dhambi ambazo nazikingia kifua ziondolewe kwenye listi ya dhambi ni hii ya kufanya mapenzi (siiti uzinzi) kwa makubaliano. Hata kama tumekubaliana nikulipe, bado haiifanyi kuwa dhambi maana ni kitu wote wawili tumeridhia na baada ya hapo kila mtu anaondoka akiwa ameridhika na alichokipata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…