Dhambi zilizozoeleka

Na 'KUOMBEANA'
Mkuu hapa kwenye kuombeana sitaki unikumbushe tena nasema sitaki.
Nitamwombeaje yeye asiyetaka kuomba? Halafu anafanya yasiyo ya haki tena mbele ya macho ya wanadam hakika huu utakuwa ni unafiki uliopitiliza, sitaki tena usiniulize kwanini sitaki.
 
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji18][emoji18][emoji18]
 
Maisha ya wokovu "kiroho" ni rahisi lakini ni magumu sana kutokana na ubinaadam wetu.

Ubinaadam ndio unaotufanya tugawanye dhambi katika makundi kadhaa;dhambi za kawaida, dhambi ndogo, na dhambi kubwa/za mauti.

Imefika hatua kudanganya/kusema uwongo imekuwa dhambi ya kawaida, wala hatujali, watoto wa mjini wanasema "tunachukulia poa" lakini dhambi hii hii tunayoihisi ni ndogo, haitoshi kuiungama/kuitubu ndiyo inayotufanya tupate magonjwa yasiyo na tiba, tutelekeze familia(watoto nje ya ndoa), tuvunje ndoa zetu, n.k.

Na kwa kawaida, dhambi moja huanzisha/huendeleza nyingine kama "safari": uwongo>uzinzi>uuaji(kutoa mimba>adhabu ya milele kwa waaminio.

Nini tufanye? Ifike kipindi tufanye vitu kwa hofu ya M/Mungu, tusifanye mambo kwa mazoea. Tunapokosa tutubu, na tunapotubu tuwe na dhati ya kuacha dhambi husika.
Shukrani mkuu Mshana jr kwa somo lako.

TYK!
 

Madini tupu
 
Acheni kumsingizia Mungu. Kama ingekuwa dhambi Mungu asingempa binadamu akili na uwezo wa kufanya hayo.
 
Hauwezi kusema umeokoka ungalibado upo duniani, dhambi nyingi hutendwa na watu waliopo duniani, ko hakuna wa kumhukumu mwenzie ikiwa wote tupo hapa duniani. Ila tunachofanya ni kukumbushana na kuelekezana kuwa dhambi ni mbaya.
Kuokoka ni duniani na SAA ya wokovu ni sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…