Dhambi ya Usaliti

Kuna kitu kinaitwa Karma kipimo utakacho pimia wengine ni hicho hicho utakacho pimiwa. Malipo ni hapa hapa dunia tunaishi na kujifunza wote hii karma imewachapa sasa ni jukumu lenu kukaa chini na kuanza upya maisha yenu, nadhani mtakuwa watu wema sasa baada ya kutambua usaliti siyo kitu kizuri.
 
ila hataki hata kuniona hapo ndo mtihani ulipo.
Kuna kitu kinaitwa Karma kipimo utakacho pimia wengine ni hicho hicho utakacho pimiwa. Malipo ni hapa hapa dunia tunaishi na kujifunza wote hii karma imewachapa sasa ni jukumu lenu kukaa chini na kuanza upya maisha yenu, nadhani mtakuwa watu wema sasa baada ya kutambua usaliti siyo kitu kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kitarudi na kitakuwa changu,Lakini hakuna tena uaminifu hapa neno la mwisho ameniambia siwezi badili tabia yangu hata akirudi kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana kujenga uaminifu. Wengi watakwambia hachana nae lakini swali ni kwamba wewe uko tayari kumuacha? Ni rahisi mtu kumshauri mwenzake hivyo lakini kwa kua hayo si yake. We unajua mlipotoka na mlivyoishi. Never say goodbye if you still want to stay. Huko utakapokwenda utakutana na changamoto zingine na pengine kubwa zaidi ya hizi. Hata akikusamehe haiwezi kuleta uaminifu kwa kwa muda mfupi. Tegemea malalamiko nk ila baada ya muda fulani kama utafanya matendo ya kumfanya akuamini itafika kipindi atakuamini tena. Ila kama nawe unaona hakufai mwache. Follow your ♥.
 
Kua na maamuzi magumu,huyo mpenzi wako mmeshasalitiana vyakutosha na haitatokea tena mje kuaminiana kiukweli never! mtaishi kwa mashaka mashaka maisha yenu yote,unapokosa uaminifu kwa mtu ni ngumu sana kuja kumuamini tena,labda iwe imani fake kisa tu unampenda na hutaki kumpoteza,

Life is too short kuishi kwa mashaka mashaka,
There is no greater wealth than peace of mind.
 
feyzal ananipa kila kitu moyo unaniuma mno mpaka sasa nipo kwenye Dailema hatuongei na wala hana hata hamu ya kupoea simu zangu
Kwa hiyo anakupa mpaka tiGo a.k.a AR?

kutoka: 22D Arnold st.
 
feyzal ananipa kila kitu moyo unaniuma mno mpaka sasa nipo kwenye Dailema hatuongei na wala hana hata hamu ya kupoea simu zangu
Kwa hiyo anakupa mpaka tiGo a.k.a AR?

kutoka: 22D Arnold st.
Hapana Mwenyezi Mungu aniepushe na huo ushenzi ninaposema kila kitu namaanisha vitu vyote anavyopaswa kufanyiwa mume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua na maamuzi magumu,huyo mpenzi wako mmeshasalitiana vyakutosha na haitatokea tena mje kuaminiana kiukweli never! mtaishi kwa mashaka mashaka maisha yenu yote,unapokosa uaminifu kwa mtu ni ngumu sana kuja kumuamini tena,labda iwe imani fake kisa tu unampenda na hutaki kumpoteza,

Life is too short kuishi kwa mashaka mashaka,
There is no greater wealth than peace of mind.
Sawa nashukuru pia kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu sana kujenga uaminifu. Wengi watakwambia hachana nae lakini swali ni kwamba wewe uko tayari kumuacha? Ni rahisi mtu kumshauri mwenzake hivyo lakini kwa kua hayo si yake. We unajua mlipotoka na mlivyoishi. Never say goodbye if you still want to stay. Huko utakapokwenda utakutana na changamoto zingine na pengine kubwa zaidi ya hizi. Hata akikusamehe haiwezi kuleta uaminifu kwa kwa muda mfupi. Tegemea malalamiko nk ila baada ya muda fulani kama utafanya matendo ya kumfanya akuamini itafika kipindi atakuamini tena. Ila kama nawe unaona hakufai mwache. Follow your .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom