Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
20+ unasema mimi mtoto...Aya nashukuru kwa ushauri lakini
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
sijui labda mie uzee umenizid nahis kuna utoto ndan yenu au umeshindwa kuielezea
20+ unasema mimi mtoto...Aya nashukuru kwa ushauri lakini
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOT
sijui labda mie uzee umenizid nahis kuna utoto ndan yenu au umeshindwa kuielezea
Chukua Mwanamke mwingine Kiongozi!Iko ndo kmnachoniuma najua hata akinisamehe bado atakua na kinyongo maana mimi yalipotokea yanayomuhusu sikufanya hivi nilikua na hasira za muda mfupi tu anyway ngoja nipige moyo konde
Sent using Jamii Forums mobile app
kama sababu ni umbali una uhakika hamtakuwa mbali tena.Binafsi labda sababu zilikua umbali uliopo lakini kwa muda mrefu alikua mwema na nilifanya mambo mengi kujiridhisha nikagundua ni mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app