Dhambi ya usaliti yamtafuna Hamad Rashid

Maandiko matakatifu yameweka wazi ukubwa wa dhambi ya usaliti na kwamba laana yake inatafuna mpaka kizazi cha 4 , tena bila ya kujali cheo cha Mhusika.

Hamad Rashid ambaye "alihongwa" vyeo baada ya " kuuza mechi " sasa ni dhahiri vyeo alivyohongwa vimeanza kumtokea puani , ametajwa kwenye ripoti ya Ndugai imemtaja kuliingizia Taifa hasara kubwa mno
Mbona Lowassa katajwa Richmond na mnae huko?
 
Kinachofurahisha hao wote wakihamia Chadema wanakuwa wasafi.

Kweli Tanzania tumebarikiwa kwa unafiki.
 
chadema n kama msikiti au kanisa wanatubu watu waliofanya maasi huko ushetanini sisiemu
mapembelo vavene
 
Mwenye Enzi Mungu anihurumie mimi na kizazi changu milele yote!
 
Na walio upinzani kwa kusaliti CCM hiyo laana yako haiwawahusu!! Au kama kawaida ya kuangalia vitu kwa miwani ya mahaba.
Hivi kumuacha shetani na uovu wake nayo inaitwa kumsaliti? Na kwamba kwa kitendo hicho katika ulimwengu was haki utaadhibiwa?
Kuondokana na mambo ya ccm sio usaliti Bali wokovu
 
Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukionya watu kujiepusha na ccm kwa sababu tunafahamu kitakachowakuta .

Hivi Professor. Let me call you that. Hivi usaliti Au ubinadamu unakuwa DIRchamani Au moyoni mwa Mtu. Unataka kutuambia wewe uliko tuchukue Mfano hapo kwenu Tu. Hakuna Usaliti. Wewe binafsi umeshawaza yako na Karma. Ukiua nafsi Utakuwa unahukumu Tu. Hutaona hta changes na wala hutafurahia. Utapenda watu wafail ili wewe na theory yako Uwe proved right. GOD does not act like you, furaha na mateso ..YOTE “gehören zum Leben”
 
Hivi kumuacha shetani na uovu wake nayo inaitwa kumsaliti? Na kwamba kwa kitendo hicho katika ulimwengu was haki utaadhibiwa?
Kuondokana na mambo ya ccm sio usaliti Bali wokovu
Wokovu kamili... Atakayepinga ni mjinga
 
Maandiko matakatifu yameweka wazi ukubwa wa dhambi ya usaliti na kwamba laana yake inatafuna mpaka kizazi cha 4 , tena bila ya kujali cheo cha Mhusika.

Hamad Rashid ambaye "alihongwa" vyeo baada ya " kuuza mechi " sasa ni dhahiri vyeo alivyohongwa vimeanza kumtokea puani , ametajwa kwenye ripoti ya Ndugai imemtaja kuliingizia Taifa hasara kubwa mno
Na wale Wengine waliotajwa walimsaliti nani?
 
Wakijiepusha na ccm waende chama gani..?? Mbona hili swali huwa hampendi kulijibu..wajinga kweli..tupe chama mbadala tuone kama unaweza tamka hapa hadharani...shwain
Jibu unalijua , waje UKAWA tuirudishe nchi kwa wananchi , badala ya kuwaachia watu wasiojulikana .
 
Na walio upinzani kwa kusaliti CCM hiyo laana yako haiwawahusu!! Au kama kawaida ya kuangalia vitu kwa miwani ya mahaba.
Mtu yeyote aliyeamua kuachana na shetani hawezi kuitwa msaliti , tafuta jina jingine
 
Jibu unalijua , waje UKAWA tuirudishe nchi kwa wananchi , badala ya kuwaachia watu wasiojulikana .
Hahahah umejitoa mhanga walau kutamka..UKAWA kwani iko wapi sikuhizi mzee mbona umepitwa na wakati..haihusiani na chama..ni Umoja wa Katiba ya Wananchi umoja ambao umeshakufa zamani..tunakutaka sasa utamke chama gani,..!! Be specific usione aibu kutamka chama...hahahaha...wakina Mbowe wamewaumiza kweli kuwaletea mafisadi..mnaona hata aibu kutamka hata chama..vumilieni tuu ndio maisha
 
Unafahamu wagombea urais wa UKAWA wanasimama kwa CHADEMA ila unajitoa akili tu , hao mnaowasema mafisadi mmeshindwa kuwashitaki na Magufuli alishafunga mjadala huo , labda umebaki wewe tu , buku 7 wenzio wameishaufyata
 
Back
Top Bottom