Ila tulimuusia sana na kumshauri maalim seif wakati ule alhaj jumbe yupo hai, tulimwambia muwahi jumbe kabla hajarejea kwa mola wake umtake radhi kwa uliyomfanyia ila hakusikia.
Ghafla tukamuona kaibukia msibani kwa mtoto wa alhaj jumbe.
Laana ya alhaj jumbe kumtoa na kumnyanyua maalim seif toka kushika chaki pale sekondari ya haile selasie hadi kuwa msaidizi wake ikulu na kisha kuwa waziri wake wa nchi.
Malipo yake ni maalim seif kumsaliti na kumchongea alhaj jumbe kwa nyerere ili arithi kiti cha urais wa ZNZ mwaka ule 1984.
Leo kiko wapi anafukuzwa kwenye chama chake alichopigania kwa jasho na damu.
Sikupi pole ngoooo maalim kwa kuwa haya uliyachuma kutokana na mikono yako.
Sent using
Jamii Forums mobile app