ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
1-kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
2-kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
Ndo hata ka singlendi mkuu?
hahahha poa mkuu ntakuwa natupia mara moja moja ila singlend na kitambi unaweza kugeuka majuto
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
Ha ha haaa lol..you made my night, you mean utakuwa comedian flani?
Hii kwangu ni mpya! Au ni mwanaume punguani?
Hii nayo inashangaza!
Hii ina kweli sana. Lakini mara nyingi wake zetu pia wanapenda kuhamisha vitu na kuweka wanapotaka bila kutoa taarifa kuwa wamehamisha. Either way, ni dhambi amabyo wengi tunaifanya.
Hii labda ni kwa wachache
The african way!Ukarimu wa mke ndio "unapimwa" vizuri!
Hizi pia ni kwa wachache sana.
Niseme nini wakati hapo unakuta kesha ni boa kwa kumsubiri zaidi ya nusu saa!?
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
ndio maana yake tena bora uwe mfupi ukiwa mrefu na kitambi juu upigilie singlend.. kutakuwa hamna haja ya kuwekea waototo katuni.....:majani7:
kula bata na mpenz wake wakati nyumbani kaacha mia tano ya matumizi
Hiyo no 14 ukweli mtupu,mtu anaamka anaacha neti hivyo hivyo,akirudi usiku anafunua net anaingia kulala,aisee kumbe hawa watu wanafanana eeh
Hiyo namba5 kama ungekuwa ndo Mke wangu nina uhakika ungechukia sana...chakula kitu gani bwana...!!