Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,358
- 100,384
Hizi zote zina nihusu. Mke wangu akiwa hayupo home, nakosa raha na nyumba naiona kama pango. Namtegemea sana mke wangu, bila yeye maisha yangu ni mabaya. I love u mama J
Hiyo ya viatu ndani, naona karibia wanaume wote.
No no no siingii na viatu, sandles au hata kandambili, siwezi kabisa maana hua hata mimi napiga deki tukiwa wenyewwe
Bora umenisaidia kumuulizaHizi ni dhambi ama makosa?
Sasa kuvaa boxer au nguo chafu si kosa la mwanamke mwenyewe jamani.
Mimi sio mchafu ILA usafi WA mke wangu unanikera sasa, live example ni Leo, nimeenda ibadani tena asubuhi kurudi tu nikabadilisha nivae nguo nyepesi ninywe chai, mara nashtuka nguo ziko kwenye dishi.
Kuna mahali tumetoka mchana tukarudi saa 11 jioni, nikavua tisheti yangu nipate upepo, natoka sasa hivi natafuta fulana nivae eti kaifua. Nimenuna kwakweli
Mmesahau kosa lingine la wanaume kunuka miguu na mdomo
Mimi sio mchafu ILA usafi WA mke wangu unanikera sasa, live example ni Leo, nimeenda ibadani tena asubuhi kurudi tu nikabadilisha nivae nguo nyepesi ninywe chai, mara nashtuka nguo ziko kwenye dishi.
Kuna mahali tumetoka mchana tukarudi saa 11 jioni, nikavua tisheti yangu nipate upepo, natoka sasa hivi natafuta fulana nivae eti kaifua. Nimenuna kwakweli
Hiyo ya viatu na magazeti inanihusu!
Kunya bila kunawa na sabuni
Kuachia rasta nywele za sirini na kwapani
Hiyo no 14 ukweli mtupu,mtu anaamka anaacha neti hivyo hivyo,akirudi usiku anafunua net anaingia kulala,aisee kumbe hawa watu wanafanana eeh13. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
14. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
15. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
. !!!9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....hatutaki usumbufu wa kuminya dawa mara nyingi ili isogee mbele
10. Kuvaa boxer / singlend chafu-- kama hamjafua unategemea tuvae nini?
11. Kutongoza haus gel- kaja kwangu kimbau mbau sasa kanona, niwaachie wenzangu waonje kabla yangu?
12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ........... hii si kweli, pombe zote za jana, ntashindaje bila kupiga mswaki, kuoga lazima kwa kuwa jana kwenye pombe wahudumu walikuwa wananikumbatia ovyo.
Nitarudi!!!!Karibu tena
ili apate kazi ya kufanya asiugue kisukari angalau afanyea na mazoezi, vinginevyo hawa viumbe wangenenepeana sanaHehehe hivi ni kwanini tuko hiviiii
Nahisi hizi kero na siyo dhambi1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.
5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??