Correctly umepatia mkuu.Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.
1. Uongo
2. Uzinzi/uasherati
3. Dhuluma
4. Ubinafsi/Uchoyo
5. Chuki
Hizo dhambi haziepukiki AISEE hasa tatu uongo,uzinzi na chuki.
Correctly umepatia mkuu.Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.
1. Uongo
2. Uzinzi/uasherati
3. Dhuluma
4. Ubinafsi/Uchoyo
5. Chuki
Namba 3, 4,5 naweza kuepuka sana kabisa.Namba 3 mimi naweza kuiepuka kwa 99.999% sikumbuki kama nishawahi kudhulumu.
Hongera sana! Mimi nilisema naweza kuepuka 3 wakabaki wananizomeaNamba 3, 4,5 naweza kuepuka sana kabisa.
Hakuna anaekujua zaidi ya unavyojijua mwenyewe, wengi watashangaa ila ndio uhalisia wako.Hongera sana! Mimi nilisema naweza kuepuka 3 wakabaki wananizomea
Hiyo ipo kwenye kipengere cha kuzini mkuu😂Kutamani ndio Uzinzi tayari
Kimbembe ni 1 na 2 tu... hizo zingine ni kujiendekeza..Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi.
1. Uongo
2. Uzinzi/uasherati
3. Dhuluma
4. Ubinafsi/Uchoyo
5. Chuki