DG WA Tanzania Coffee Board Adolph Kumburu nani kampa kibali cha kuharck simu na email za watu?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wadau naomba kuuliza hivi huyu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ni nani aliyempa kibali cha kudukua (Hacking) Email za wafanyakazi pamoja na kurecord simu za wafanyakazi ?
HII ni kutokana na akili ndogo kutawala akili kubwa au ?.
Kumekuwa na woga uliotanda kwenye ofisi za Bodi ya Kahawa kutokana na wafanyakazi kuwa waoga wa kutumia simu zao za mkononi au hata kufungua email za siri kutokana na kitendo cha mkurugenzi mkuu huyo kurecord simu za wafanyakazi kwa kuwalipa baadhi ya wafanyakazi wa makampuni ya simu za mkononi kumrecordia yale yanayozungumzwa kwenye simu za watendaji wa taasisi hiyo
Ni hivi karibuni baadhi ya wafanyakazi wameshindwa kufungua email zao na baadhi ya document zimeonekana zikizagaa kwenye bodi ya wakurugenzi wa bodi hiyo na wenye email hizo kwa sasa hawawezi kufungua email zao tena
Tume ya mawasiliano tuwaomba kuingilia hili na sheria iweze kuchukua mkondo wake
Na je Voda com mna habari ya haya yanayoendelea huku Moshi ?