DG WA Tanzania Coffee Board Adolph Kumburu nani kampa kibali cha kuhack simu na email za watu??

M

Mafyale

Member
5
0
DG WA Tanzania Coffee Board Adolph Kumburu nani kampa kibali cha kuharck simu na email za watu?

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wadau naomba kuuliza hivi huyu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ni nani aliyempa kibali cha kudukua (Hacking) Email za wafanyakazi pamoja na kurecord simu za wafanyakazi ?
HII ni kutokana na akili ndogo kutawala akili kubwa au ?.

Kumekuwa na woga uliotanda kwenye ofisi za Bodi ya Kahawa kutokana na wafanyakazi kuwa waoga wa kutumia simu zao za mkononi au hata kufungua email za siri kutokana na kitendo cha mkurugenzi mkuu huyo kurecord simu za wafanyakazi kwa kuwalipa baadhi ya wafanyakazi wa makampuni ya simu za mkononi kumrecordia yale yanayozungumzwa kwenye simu za watendaji wa taasisi hiyo

Ni hivi karibuni baadhi ya wafanyakazi wameshindwa kufungua email zao na baadhi ya document zimeonekana zikizagaa kwenye bodi ya wakurugenzi wa bodi hiyo na wenye email hizo kwa sasa hawawezi kufungua email zao tena

Tume ya mawasiliano tuwaomba kuingilia hili na sheria iweze kuchukua mkondo wake

Na je Voda com mna habari ya haya yanayoendelea huku Moshi ?
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
13,490
2,000
Kama hauna jambo baya kwanini uogope???
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
3,392
1,250
huyu anapaswa kufanyia kazi kubwa siyo wa kuacha hivi hivi.
 
M

Mafyale

Member
5
0
@ Mzee . Hi ndio kazi aliyoajiriwa nayo ? Acha kuwa na akili ndogo panua akili yako
 
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
2,731
0
DG WA Tanzania Coffee Board Adolph Kumburu nani kampa kibali cha kuharck simu na email za watu?

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wadau naomba kuuliza hivi huyu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Adolph Kumburu ni nani aliyempa kibali cha kudukua (Hacking) Email za wafanyakazi pamoja na kurecord simu za wafanyakazi ?
HII ni kutokana na akili ndogo kutawala akili kubwa au ?.

Kumekuwa na woga uliotanda kwenye ofisi za Bodi ya Kahawa kutokana na wafanyakazi kuwa waoga wa kutumia simu zao za mkononi au hata kufungua email za siri kutokana na kitendo cha mkurugenzi mkuu huyo kurecord simu za wafanyakazi kwa kuwalipa baadhi ya wafanyakazi wa makampuni ya simu za mkononi kumrecordia yale yanayozungumzwa kwenye simu za watendaji wa taasisi hiyo

Ni hivi karibuni baadhi ya wafanyakazi wameshindwa kufungua email zao na baadhi ya document zimeonekana zikizagaa kwenye bodi ya wakurugenzi wa bodi hiyo na wenye email hizo kwa sasa hawawezi kufungua email zao tena

Tume ya mawasiliano tuwaomba kuingilia hili na sheria iweze kuchukua mkondo wake

Na je Voda com mna habari ya haya yanayoendelea huku Moshi ?
Hili ni jukwaa la siasa la JF,nenda ofsi za TUCTA na TCRA ukalalamike
 
Chilli

Chilli

JF-Expert Member
1,655
1,225

Haka katabia kanaanza kushamiri sasa, maana kalianza kiutani utani na kina Kubenea na Mbowe kuhack mawasiliano ya Zitto.

Halafu TCRA wamekaa kimya tu!!
 
Forum statistics

Threads
1,424,519

Messages
35,065,745

Members
538,008
Top Bottom