Devota Minja amwaga maelfu ya barakoa Morogoro ili kuwakinga Wananchi na Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,731
218,307



Wahenga walishasema tangu zamani kwamba kutoa ni moyo , na wala si utajiri , huyu Devota Minja yeye ameamua kutoa barakoa ili kuwaokoa wananchi dhidi ya vifo vya corona.

Lakini inafahamika kwamba Tajiri Mohamed Abood yeye miaka yote anatoa Magari ya kubebea maiti kupeleka makaburini kuzika , watu wa Morogoro Mjini hili wanalifahamu sana.

KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Amefanya jambo la busars
Enyi wanamrogoro msirudie kosa 2020, mchagueni huyu anayewakinga na kifo si huyo anayetaka mkufe ndio akupelekeni kuzika hapo ndio ionekane kakupeni msaada

Awamu hii muulizeni kwanini asitoe msaada kuokoa maisha ya wanamrogoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…