Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,343
- 217,372
Wahenga walishasema tangu zamani kwamba kutoa ni moyo , na wala si utajiri , huyu Devota Minja yeye ameamua kutoa barakoa ili kuwaokoa wananchi dhidi ya vifo vya corona.
Lakini inafahamika kwamba Tajiri Mohamed Abood yeye miaka yote anatoa Magari ya kubebea maiti kupeleka makaburini kuzika , watu wa Morogoro Mjini hili wanalifahamu sana.
KUPANGA NI KUCHAGUA