Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 913
- 923
Habari developers, nimekuwa nijiuliza kwann sisi madevelopers wa TZ tusi organise tukafanya kitu kama wenzetu wazungu hao wapo chini. Tunaweza kufanya kituo ambacho kinaweza kutoa mahali tulipo kuliko kujifungia chumban pekee yako ukiisi utafanikiwa. Hakuna IT aliyefanikiwa akiwa peke yake.
Rai yangu ni tuungane pamoja ilituweze kusonga mbele.
Rai yangu ni tuungane pamoja ilituweze kusonga mbele.