We ling'ombe kwelikweli, hiyo DW ipo Tanzania!!!?,yaani inaonesha kwako huna hata kiredio ni aibu kujinasibu ni mzalendo hujui hata dw ipo wapi.Kweli wewe ni kivutio cha wataliiWe ni kiuno kweli kweli hujui kama kinga ni bora zaid kuliko tiba hii tunachukua tahadhali mapema kabla mambo hayajaenda kombo
Oky ngoja mimi niendelee kunywa juiceTatizo umekalili kila anayekosoa kitu ni upinzani,wengine tuko ccm tena wanufaika haswaaa lakini panapobidi ni kuelekezana ili tujenge Tz ya kesho,sasa wew kazi kunywa komoni na kusifiasifia hata panapoharibiwa ndo ninyi mnaturudisha nyuma.
Acha kutafuta umarufu kupitia mgongo wangu utapotea dogo mi sio wa matopen kama wewe na familia yako jiangalie sana kijanaWe ling'ombe kwelikweli, hiyo DW ipo Tanzania!!!?,yaani inaonesha kwako huna hata kiredio ni aibu kujinasibu ni mzalendo hujui hata dw ipo wapi.Kweli wewe ni kivutio cha watalii
Wewe ndo unakurupuka unataka umaarufu kupitia uchonganishi wako wakipuuzi,kwanza utanipotezaje!!!!.bila shaka nilichawi wewe coz wachawi wengi wanakimbiaga shule kama wewe,usikichafue chama chetu pendwa hakina mambumbumbu kama wewe.Acha kutafuta umarufu kupitia mgongo wangu utapotea dogo mi sio wa matopen kama wewe na familia yako jiangalie sana kijana
kuna yule mama mzee mtangazaji wa dw mwenye asili ya znz wakati wa uchaguzi mwaka juzi alidai kutekwa nyara. nadhani ndio wanalipiza kisasi kuichafua serkali ya tzKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Mmmh! Naunga mkono hoja, maana hata andika yako ni shidaaaaaWewe ndo hamunamo kabisa
Dw kipo nchi ni ndo kusema hapo unamanisha nini
Endelea kunifata fata we ma ta koWewe ndo unakurupuka unataka umaarufu kupitia uchonganishi wako wakipuuzi,kwanza utanipotezaje!!!!.bila shaka nilichawi wewe coz wachawi wengi wanakimbiaga shule kama wewe,usikichafue chama chetu pendwa hakina mambumbumbu kama wewe.
Raisi wetu mpendwa lkn yeye hatupendi,hasikii vilio vyetu,kila akiambiwa yeye anakataa tu.Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Nenda shule mbona elimu bure na madawati yapo!!,au unaogopa umande?? Komaaa na umande utoe uzombi kichwani humo.Endelea kunifata fata we ma ta ko
Nakushauri uunganishe wenzako wote kupiga vita udikteta na kejeli za kiongozi mkuu kabla ya kuandika huu utumboKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Kama anajua (tunajua) kulikuwa na haja gani kuleta uzi huu hapa?Kwani hujui mkuu
weka hata cituo na mikato basi.Halafu sema walichosema kikaonekanani uchochezi kwako,ili nasi tujiridhishe ndo sasa tukuunge mkono au kukukataliaKituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo