Deutch Welle yaanza uchochezi

Deutch Welle yaanza uchochezi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
23,986
Reaction score
42,230
Kituo cha habari cha DW kimeanza tena uchochezi wake. Hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habari nchini kuingilia mambo ya ndani ya serikali. Mara nyingi sana kimekua kikimfukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumla.

Nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habari zake za uchochezi.
 
"kalibun"....we kunywa tu!..Kuna maeneo Mkulu anazingua!..na kuna maeneo "anasema ukweli mchungu"
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Mkuu umeishia la ngapi..

1.Dw kipo nchi ni? ?
2.Uchochezi wake ni upi?
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Nini walichokisema ambacho wewe unadhani sii kweli?
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
Ulidhani kila MTU ni Uhuru na Mzalendo??Nenda kafie mbali waache waseme ujinga wenu
 
Hahaaa mkuu
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
unkunywa juisi magogoni huku unapungwa upepo

Juisi zimeanza lini?

Nasikia kwenye hafla ni mwendo wa madumu ya chibuku
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
kalibuni=karibuni
acha kutuharibia lugha yetu ebooo!
 
Kituo cha habari cha dw kimeanza tena uchochez wake hii si mara ya kwanza kwa kituo hiki kikubwa cha habar nchin kuingilia mambo ya ndan ya selikali mara nyingi sana kimekua kikimufukunyua mtukufu rais wetu mpendwa na nchi yetu kwa ujumula nawaomba watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kukipiga vita hiki kituo cha habari maana kinaweza kuleta machafuko kwa habar zake za uchochez kalibun nakunywa Juice niko hapa magogon huku nikipungwa upepo mdogo mdogo
eti 'kalibuni' nakunywa juice!
 
Uchochezi ni nini? Hilo neno uchochezi linatumika vibaya sasa,inapaswa Neno uchochezi lilaniwe maana sasa Neno Uchochezi linatumika kuharalisha uzushi,Uonevu na hata Uongo kila mjinga akiona CCM inakosolewa anakimbilia kukariri Neno uchochezi, tambua kuwa Watanzania wa sasa wapo makini kwani hawachochewi kirahisi pasipo kutafakari hivyo Neno uchochezi hawalitaki maana halina maana yeyote kwenye kipindi hiki cha njaa na uonevu wa kuzuia mikutano ya siasa.
 
Ni wajinga pekee wamekariri Neno Uchochezi pindi wenye mawazo chanya wakiwakosoa CCM,wale wenye Akili hawawezi kuamini Neno Uchochezi kwenye issue ya kudai Haki.
 
Idhaa ya kiswahili wajanja, wanatafuta stori za kitanzania za kuwaweka hewani.
 
Back
Top Bottom