Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Deus ni nani?Ajiunge hata leo kajiunga zitto itakuwa huyo ngifi.
 
ACT ipo kisayansi na akili zote bila ubaguzi zinapewa nafasi ndio maana ACT tunasema ni moto wa pumba kanyaga uone

Kwi kwi kwi kwi! Hivi kumbe sayansi ni pana hivyo, siku hizi kumbe kuna sayansi ya usaliti?
 
Habari wadau wa JF,

Aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA Deus Mallya,aliyepata ajali na Hayati Chacha Wangwe mwaka 2008, ajali iliyosababisha kifo cha Wangwe ametangaza hadharani kwamba amejiunga na ACT wiki ijayo atatoa sababu za kuondoka CHADEMA. Nanukuu.

"Baada ya kushauriana na Watu wangu wa karibu, wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki na familia yangu nimeamua kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo. Week ijayo nitatangaza wazi azma yangu hiyo mbele ya vyombo vya habari na na pia nitaeleza sababu za kuamua kuachana na CHADEMA"

Mwisho wa Kunukuu.
Zitto awe makini nae sana usikute katumwa kwa kazi maalum na Freeman mbowe
 
Kila mzalendo anakaribishwa. Hata wewe, nakusudia wewe ebu jione, eee!!wewe mwenyeweukitubu dhambi ya kubaki kuwa cdm na ukaamua kuuvaa uzalendo karibu
 
Mbowe choo imembana ,ile siri aliyokua anatunza itakuaje sasa?

Watu makini wanafahamu ccm ndo walimuua Wangwe kwa ya amri ya Makamba sr,Deus Malya alitumiwa na ccm kama Ludovick,ndo maana mlimtoa jela kwa msamaha wa rais baada muda mfupi,cdm walishamstukia cku nyingi wamempotezea!
 
Inaaminika ndiye aliyetumiwa na ma~gamba kutuulia Kamanda Chacha Wangwe.

Kabla ACT hawajampokea wamuombe awape passport zake zote alizowahi kusafiria, alafu waangalie rank la nchi alizowahi kwenda, hapo lazima watagundua kitu kuhusu huyu jamaa. Chezea ujasusi wewe
 
Hahaaaa Huyu mbona cmjuagii ameibukia wapi huyuu wawe makin maana CHADEMA kiko nasheria so wajichunge na mipango tengenezwa ohoooo
 
Tunatakiwa Kila la heri roho nyepesi roho za kimaslahi, natumaini wakuu mnazidi kuamini sasa ACT ni Ant-Chadema Tanzania, hawana lengo lingine zaidi ya hyo
 
Sasa sisi inatuhusu nn...ukitaka kichaa asikusumbue mfukuze na makopo yake...xo makopo yake nenden tu ili kichaa wenu asitusumbue..

Jamani watu mna maneno hata sijui mnayatoa wapi daah!!
Kwa hiyo Zitto ndio kichaa na makopo ni kina Deus, Afande Sele,Mwigamba na wengineo sio??
 
unaweza kubadili dini au chama cha siasa wkt wowote lakini sio kabila.xo ni halali kwa mtu yoyote yule hazuiwi
 
Back
Top Bottom