Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo


Na aondoke tu,kwani haiwezekani kuendelea kukaa na vilaza wafuata mkumbo,au waliopo mahali kwa sababu fulani yupo hapo.Toka haraka tu,usitujazie inzi
 
Katumwa aka mchacha wangwe kiongozi mkuu wa ACT- wazalendo
 
Mamuluki huyo katumwa na mbowe kuja kuwavuruga na kuwateketeza kama alivyomfanyia chacha wangwe.
 
sheriaa ya mitandao itafunga wengi...kwakwelii magereza yatajaaa
 
Huyu jamaa lazima huko ale sahani moja na roho ya Mwl.Kaijage au Zitto, wawe makini wasije kumfata Chacha mbele za haki.

Deus Malya ni Jasus mzoefu huko anaenda kuwapeleleza kininja kisha awapoteze kama alivyofanya kwa chacha Wangwe.
 
sheriaa ya mitandao itafunga wengi...kwakwelii magereza yatajaaa

Subirini Membe na January washike Nchi hata ukitema kohozi uwani kwako ni Jela tu, watajenga magereza kila kona hadi kwenye kata.
 
Naona target ya act ni chadema wala siyo ccm tena!
 
Ndg minyoo ukuje hapa huyu bwana huwa unamkandia sana
 
Last edited by a moderator:
Chacha Wangwe aliuwawa na ccm

Si kweli aliyemuua chacha wangwe ni mbowe kwa kuwatuma Mnyika, Kagenzi, kilewo , Lema, Mrema wa bungeni na Deus Malya, hii Timu ndiyo ilipanga na kufanikisha kifo cha chacha wangwe .
 
Upuuzi mkubwa. Mallya asiye na attention ya watu ndo anakuwa gumzo. Jana mimi nimetoka CCM kwenda ACT mbona hamnitangazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…