Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Huo ni Uhuru wake.
Japokuwaa nina mashaka sana na taarifa hii, kwa sababu
1/Kwa kawaida mtu anapojiunga na chama kingine huwa anatoa sababu zake hapo hapo na sio kupanga siku nyingine.
2/Kwa sasa ACT wanatafuta wanachama, haiwezekani mtu maarufu ajiunge na ACT kimya kimya, ni lazima wa-hit media, Why not to Malya?
3/Wafuasi wa ACT wamekuwa wakisema propaganda za kudai Chacha Wangwe aliuwawa kwa mpango wa viongozi wa CHADEMA na Malya akihusishwa, sasa leo hii Malya huyo huyo atangaze kuhamia ACT?

*Hii story ina chembechembe nyingi za Utata, unless Malya mwenyewe ajitokeze live kwenye media na kusema kuwa amejiunga na ACT, otherwise kuna Propaganda inatafutwa kwa nguvu kuenezwa hapa. Time will tell.
 
Duu sasa hakika chadema inakufa kila leo...
 
Huyu jamaa lazima huko ale sahani moja na roho ya Mwl.Kaijage au Zitto, wawe makini wasije kumfata Chacha mbele za haki.

> Umenichekesha sana mkuu hakika nimefurahi sina mbavu hivi umewaza nini, poa yote tisa siasa zetu bwana eti kashauriana na ndugu na jamaa. Jamani tujifunze siasa za maslahi ya Taifa huu unafiki na ulongo Afrika tuna kazi ya kuwapata watu wakweli ila najua kizazi changu kitfanya kazi hii.
 
Safi sana Deus Mallya, kaimarishe chama cha Zitto
Nyie ndiyo watu tunaotaka muende huko

Sasa sijui Mimi mwanaCCM nitaruhusiwa kujiinga huko ACT wazalendo
 
Last edited by a moderator:
Zitto anaondoka na majembe yake yote.
Nasikia yule binti wa KAWE nae yupo njiani kutimkia kwa ZITTO maana babu kamuandaa yule mama wa MABWEPANDE kugombea KAWE!
 
Aende tu ila ubunge asahau.
 
Huyu Mbowe anaweza "kummaliza" muda wowote, ana siri kubwa sana kuhusu kifo cha Chacha.
 
Mission ya ACT sio kupata wabunge wala madawani wala urais bali kuichachafia chadema

Wanaboa kwa unafiki na usaliti wao.
Zitto alikuja na thread hapa akangia mitini within o minute
 

Kwa hiyo sifa yake kuu ni kupata ajali na Chacha Wangwe?
 
Kipindi kile Wangwe alipofariki, Prof Lipumba aliongea kwenye TV akasema kuwa Mallya ni jasusi aliyepata mafunzo ya kijasusi huko Libya!
 
Yaan baada ya Zitto ni huyo kanjanga Millya?

Vipi mpango wake na Diallo umeishia wapi?
 
Ni haki yake kikatiba! Ayatollah awe makini, katika safi ya mamba na kenge wamo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…