Deus Kibamba ni nani?

Deus Kibamba ni nani?

Sasa hali imebadilika Tanzania. Kwani kila mpigania /mtetea haki za wananchi utasikia ni chadema.
Sasa naomba kuuliza...
Je kila mla rushwa,mng'oa meno na kucha bila ganzi, Jangili la tembo, Wauza sembe,na wenye tabia kama hizo ni chama gani?

CCM Hoyeee.
 
Ni mwanachama kivuli wa CHADEMA.

masopakyindi;

You can say anything about this intelligent youngman called Deus Kibamba!
But the truth shall stand quoting that,the man is so bright and knows how to contruct his ideas straight to the points!

Kama kuna watu wamechangia kwenye Mchakato wa Rasimu ya katiba Mpya basi Deus Kibamba is one of them. Ni watu mazuzu na wavivu wa kufikiri ndio wanaweza kumbeza huyu jamaa.

Kuna watu wanaochangia hapa JF nina hakika ukiwapambanisha na Deus Kibamba watatoka mkuku! Huo ndiyo ukweli na ukweli lazima tuuseme kama ulivyo. Watanzania tuacheni unafiki ili tupone!
 
mnafiki tu huyu jamaa, binafsi simuelewi anachokipigania ni tumbo lake tu kama wale jamaa.
 
- Hilo jukwaa wanafadhiliwa mapesa na nani ndio swali la msingi sana hapa mkuu!!

Le Mutuz
Wanafadhiliwa na mzee mmoja wa Dodoma wakati mmoja aliwahi kuwa waziri mkuu na akasakamwa sana na Nyerere! Anaitwa Malecela! Mzee wa go to hell!
 
sasa hali imebadilika tanzania. Kwani kila mpigania /mtetea haki za wananchi utasikia ni chadema.
Sasa naomba kuuliza...
je kila mla rushwa,mng'oa meno na kucha bila ganzi, jangili la tembo, wauza sembe,na wenye tabia kama hizo ni chama gani?
chama cha mapinduzi
 
masopakyindi;

You can say anything about this intelligent youngman called Deus Kibamba!
But the truth shall stand quoting that,the man is so bright and knows how to contruct his ideas straight to the points!

Kama kuna watu wamechangia kwenye Mchakato wa Rasimu ya katiba Mpya basi Deus Kibamba is one of them. Ni watu mazuzu na wavivu wa kufikiri ndio wanaweza kumbeza huyu jamaa.

Kuna watu wanaochangia hapa JF nina hakika ukiwapambanisha na Deus Kibamba watatoka mkuku! Huo ndiyo ukweli na ukweli lazima tuuseme kama ulivyo. Watanzania tuacheni unafiki ili tupone!

Mkuu naheshimu mawazo yako ingawaje they fall short!
Huyu Kibamba may be bright lakini reasoning yake iko clouded na upenzi wake na chama anachokipenda.

Kwa mwanasheria anayeujua mchakato wa utayarishaji wa sheria amefeli ku-appreciate naked facts.

Fact 1 Kwenye bunge Wapinzani ni minority
Fact 2 Wapinzani walikosea na hawashauriwa vizuri kususia mchakato maana numbers zao zisingewwza kuzuia mchakato wenyewe

Fact 3 mchakato wa muswaada ukitoka bungeni ni kama treni ambalo halisimami vituo vidogo. Kisheris hata JK asingekuwa na ubavu wa kukataa kudign katika mazingira yaliyokuwepo. Alternative yske ingekuwa kulivunja bunge na tuingie uchaguzi mkuu.

Fact 4 vyama vya upinzani vime fall short vile vile katika colective reponsibility na wenzao wa CCM. Sijui kama kulikuwepo na attempts A kunegotiatd ysle mazuri ambayo wangependa kama waTanzanis ysingie katika katiba. When they try to forcd their way , they will ofcourse find the door firmly shut! Na kwa misingi tu ya demokrasia ubavu huo hawana.

In actual fact mimi ni muumini wa aidha serikali mojz au tatu!
Msimamo huo si wa uongozi wa CCM lakini kuna wanachama wengi tu wanaoupendelea na kwa sababu maalum.

Hivyo basi, Kibamba angekuwa na akili kweli ange plead,convince na hata kuadvice watanzania wote na si CDM tu.

Sasa hivi sana aana ana act kama mwanaharakati asiyejua kile anachokita na kule anakotaka kwenda..
 
Nadhani umeuliza baada ya kumuona anatema cheche star tv.mwenye majibu atusaidie hapo.jamaa yuko fiti sana,anajiamini.
Tapeli tu huyo mganga njaa kwa kupandisha mishipa ya Shingo kuwahadaa wadanganyika. Chezea misaada toka nje weye?!
 
Lumumba, a product of Mulugo in support of ccm eldery people who do want positive political changes. Shame on you!

Kibamba ni kijana niliyemfahamu akiwa bado form five Milambo Sec. Kijana ambaye hajapoteza ujasili na mpagiliio wa mawazo yake toka nimemfahamu. Nikijana aliyeshiriki kutetea haki za wanafunzi wenzie ktk utawara mbovu wa H/Master mkorofi na fisadi kupindukia- sijapata kuona mkuu wa shule kama yule- aliyejawa na kiburi...

Ktk umbo dogo, mfupi na mwenye akili aliweza kuongea kingereza kwa umahiri na ustadi wa hali ya juu. Alikuwa kiongozi na mwenye uelewa.

Anaweza kuwa wa faida ktk taifa kama akipewa nafasi. I need to see him there!....
 
Hata akina nyerere waliitwa wasaka tonge lkn wakatuletea uhuru.......
 
Lumumba, a product of Mulugo in support of ccm eldery people who do want positive political changes. Shame on you!

Kibamba ni kijana niliyemfahamu akiwa bado form five Milambo Sec. Kijana ambaye hajapoteza ujasili na mpagiliio wa mawazo yake toka nimemfahamu. Nikijana aliyeshiriki kutetea haki za wanafunzi wenzie ktk utawara mbovu wa H/Master mkorofi na fisadi kupindukia- sijapata kuona mkuu wa shule kama yule- aliyejawa na kiburi...

Ktk umbo dogo, mfupi na mwenye akili aliweza kuongea kingereza kwa umahiri na ustadi wa hali ya juu. Alikuwa kiongozi na mwenye uelewa.

Anaweza kuwa wa faida ktk taifa kama akipewa nafasi. I need to see him there!....
You dont seem to realise that the boy is riding the wrong horse!
 
Mara nyingi kupitia jukwaa la katiba anatoa hoja za msingi zinazosaidia wahusika kuboresha mchakato wa katiba.
 
mwanaharakati uchwara anayefanya political movement
 
Tanzania ukiniuliza ninayemchukia kibamba Ni mwenyekiti jukwaa la katiba chadema atakuwa na kadi jamaa.
 
wewe mpaka leo hii humjui deus kibamba ,mi nafikiri wewe operation kimbunga inakuhusu au utakuwa umekunywa sumu za akina mwigulu na nape.
 
Tapeli tu huyo mganga njaa kwa kupandisha mishipa ya Shingo kuwahadaa wadanganyika. Chezea misaada toka nje weye?!

Wewe unaganga nin hapa mkuu?povu lote la nin?jenga hoja na acha personal attacks.
 
Back
Top Bottom