Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Kuna kitu nimejifunza hapa; Kumbe mwana CHADEMA ni mtu yeyote anayesimamia ukweli kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania.Ni mwanachama kivuli wa CHADEMA.
Kuna kitu nimejifunza hapa; Kumbe mwana CHADEMA ni mtu yeyote anayesimamia ukweli kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania.Ni mwanachama kivuli wa CHADEMA.
Ubango unaweza kuwa hauko sawa.. Kwani kila mwanaharakati ni chadema? Kila anaetetea maslahi ya wananchi ni chadema?
Inamaana yeye ndo mmiliki wa ile sehemu inayoitwa Kibamba?
Bila kutumia utaratibu wala akili ya kutosha........Kuna kitu nimejifunza hapa; Kumbe mwana CHADEMA ni mtu yeyote anayesimamia ukweli kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania.
'Maso pakyindi' kwa Kinyakyusa inamaanisha 'Kutazama ugali'
Hamna Tatizo mkuu
Mkuu huyo jamaa ni bomu!
Kama ameshindwa kuwafafanulia wapinzani maana ya utawala bora basi ni fiksi tu.
Hajui taratibu za utungaji sheria, na kina Lissu, Mbowe, Lipumba et al kwa kweli wameadhirika pamoja na matusi na kele zote zile hadi mishipa ikawatoka, muswaada umesainiwa na tuition wakula Ikulu.
Mabadiliko ni lazima lakini ni kwa nguvu ya hoja bungeni ,si kususia halafu kutegemea fujo na maandamano.
Ni dhahiri sasa huyo Kibamba ni mchumia tumbo tu kwa wanaomfadili.
Deus Kibamba ni mwenyekiti wa jukwaa la katiba, naomba kuuliza tafuatayo
1. Jukwaa la katiba ni nini?
2. Lina nguvu gani kisheria?
3. Linamuwakilisha nani?
4. Nani kamchaguwa kwenye cheo chake?
5. Background yake ikoje?
Asanteni sana