Deus Kibamba ni nani?

Deus Kibamba ni nani?

Deus Kibamba ni mwenyekiti wa jukwaa la katiba, naomba kuuliza tafuatayo

1. Jukwaa la katiba ni nini?
2. Lina nguvu gani kisheria?
3. Linamuwakilisha nani?
4. Nani kamchaguwa kwenye cheo chake?
5. Background yake ikoje?

Asanteni sana
Hata mimi simjui zaidi ya porojo na harakati zake za kipinzani basi,kwa mbali humgundua kwa muonekano wa ndevu zake za umbo o ambalo huko Zanzibar linawakilisha kundi fulani lenye kheri tu lakini.
 
Deus Kibamba hana tofauti na watu kama akina Nape, Mnyika, Zitto na wengine kama hao! Huku Uswahilini, tunawaita wauza maneno, but through manipulation! Ukiwa fa*ra wanakupata na kudhani wanakutetea kumbe wote ni wachumia tumbo tu.
 
Nduka Original;7591930]Deus Kibamba ni mwenyekiti wa jukwaa la katiba, naomba kuuliza tafuatayo

1. Jukwaa la katiba ni nini?

TISS ORGAN

2. Lina nguvu gani kisheria?
3. Linamuwakilisha nani?
4. Nani kamchaguwa kwenye cheo chake?

TISS

5. Background yake ikoje?

Asanteni sana
 
Kuna utaratibu mpya umezuka siku hizi Tanzania. Mtu yeyote anayetetea HAKI na Watanzania wanyonge basi ni CHADEMA.

Kama huo ndiyo mtazamo wa Watanzania siku hizi, basi CHADEMA ni chama cha HAKI NA WANYONGE.

Na sioni CCM itatokea tundu gani? UDINI? UKANDA? U-DR. SLAA?

Umeni PRE-EMPTY kabisa, nilitaka niseme hayo hayo ila nikaona umeshaweka. Huu ni ujumbe wa waTanzania kwenda kwa waTanzania.
Anayetetea HAKI NA MASLAHI YA TAIFA=CHADEMA, wenyewe mmesema!
 
Deus Kibamba anatetea haki ya nani? yule ni msaka tonge tu!
 
Inamaana yeye ndo mmiliki wa ile sehemu inayoitwa Kibamba?
 
Deus Kibamba ni mwenyekiti wa jukwaa la katiba, naomba kuuliza tafuatayo

1. Jukwaa la katiba ni nini?
2. Lina nguvu gani kisheria?
3. Linamuwakilisha nani?
4. Nani kamchaguwa kwenye cheo chake?
5. Background yake ikoje?

Asanteni sana

- Hilo jukwaa wanafadhiliwa mapesa na nani ndio swali la msingi sana hapa mkuu!!

Le Mutuz
 
Pa Kyindi acha ushabiki mkuu! Kubali yale yenye kujenga mustakabali tunaoutaka wa fikra mbadala na uchambuzi wa hoja za msingi kama anavyofanya Kibamba!

- Anataka kugombea Ubunge wa Segerea kwa tiketi ya Chadema ndio maana amerudisha kadi yake ya CCM, hivi karibuni ni kweli lile jukwaa wangejiunga tu na Chadema maana ni tawi lao wala sio siri!!

Okay! Ni vigumu kuwa na mchambuzi ambaye hana mwelekeo wa kisiasa kwa kuwa hata yeye huwa na matamanio kama wengine......lakini pamoja na kuwa M-Chadema au M-CCM, yote anayoyasema Kibamba hayana msingi au yamekaa Ki-Chadema dema tuu?
 
Umeni PRE-EMPTY kabisa, nilitaka niseme hayo hayo ila nikaona umeshaweka. Huu ni ujumbe wa waTanzania kwenda kwa waTanzania.
Anayetetea HAKI NA MASLAHI YA TAIFA=CHADEMA, wenyewe mmesema!

halina Ubishi...
 
'Maso pakyindi' kwa Kinyakyusa inamaanisha 'Kutazama ugali'

...aaah! aaah! aaah! we Mvaa Tai ni mchokozi sana...kuna mzee mmoja aliniambia "ukiona mbwa wako anawabwekea ndege(mwewe) wanaopita angani,ujue ndo baaaasi tena ameisha-vurugwa!"...
 
Last edited by a moderator:
kama huyu mpayukaji na nape atakua nani npe jibu
 
- Anataka kugombea Ubunge wa Segerea kwa tiketi ya Chadema ndio maana amerudisha kadi yake ya CCM, hivi karibuni ni kweli lile jukwaa wangejiunga tu na Chadema maana ni tawi lao wala sio siri!!

Le Mutuz

Kwa nini usianze wewe kujiunga na Chadema kwa sababu umesema leo Zitto Kabwe is ur hero!
 
Back
Top Bottom