Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,493
- 7,417
- Hilo jukwaa wanafadhiliwa mapesa na nani ndio swali la msingi sana hapa mkuu!!
Le Mutuz
Watanzania wazelendo
- Hilo jukwaa wanafadhiliwa mapesa na nani ndio swali la msingi sana hapa mkuu!!
Le Mutuz
Nyie ndo mwakamatwa ka mkasi maana hata mkikamatwa hamjijui.Kila anayeeleza ukweli wa mambo ni CHADEMA, kweli akili nyingine ni za kushikiliwa nyuma kama mkasi!
Mkuu huyo jamaa ni bomu!Pa Kyindi acha ushabiki mkuu! Kubali yale yenye kujenga mustakabali tunaoutaka wa fikra mbadala na uchambuzi wa hoja za msingi kama anavyofanya Kibamba!
Jifunze andishi sanifu basi ueleweke, hizi lugha za makatapela taabu sana!We ni jitu unaewaza kula bure tu apo ndo tatzo linapokuja hata bila kukalibishwa
'Maso pakyindi' kwa Kinyakyusa inamaanisha 'Kutazama ugali'
Hamna Tatizo mkuu
Sasa hali imebadilika Tanzania. Kwani kila mpigania /mtetea haki za wananchi utasikia ni chadema.
Sasa naomba kuuliza...
Je kila mla rushwa,mng'oa meno na kucha bila ganzi, Jangili la tembo, Wauza sembe,na wenye tabia kama hizo ni chama gani?
mkuu huyo jamaa ni bomu!
Kama ameshindwa kuwafafanulia wapinzani maana ya utawala bora basi ni fiksi tu.
Hajui taratibu za utungaji sheria, na kina lissu, mbowe, lipumba et al kwa kweli wameadhirika pamoja na matusi na kele zote zile hadi mishipa ikawatoka, muswaada umesainiwa na tuition wakula ikulu.
Mabadiliko ni lazima lakini ni kwa nguvu ya hoja bungeni ,si kususia halafu kutegemea fujo na maandamano.
Ni dhahiri sasa huyo kibamba ni mchumia tumbo tu kwa wanaomfadili.
deus kibamba anatetea haki ya nani? Yule ni msaka tonge tu!
- Hilo jukwaa wanafadhiliwa mapesa na nani ndio swali la msingi sana hapa mkuu!!
Le Mutuz
Mavi wewe na wewe kasake lako
sio unakaa hapa kama malaya wa uswahilini kazi ni kubeza tuu pasipo facts
Mavi wewe na wewe kasake lako
sio unakaa hapa kama malaya wa uswahilini kazi ni kubeza tuu pasipo facts
....haya tena...!!!!
Sasa hali imebadilika Tanzania. Kwani kila mpigania /mtetea haki za wananchi utasikia ni chadema.
Sasa naomba kuuliza...
Je kila mla rushwa,mng'oa meno na kucha bila ganzi, Jangili la tembo, Wauza sembe,na wenye tabia kama hizo ni chama gani?
Kama katika umri ulionao unachoweza kumkumbuka huyo mzee wako ni jinsi ya kuvugwa ,basi wewe na huyo mzee mna matatizo makubwa....aaah! aaah! aaah! we Mvaa Tai ni mchokozi sana...kuna mzee mmoja aliniambia "ukiona mbwa wako anawabwekea ndege(mwewe) wanaopita angani,ujue ndo baaaasi tena ameisha-vurugwa!"...
Sitajishusha hadhi kubishana na wewe, no use wallowing in dirt!Acha umburula wewe mrafi hoja gani iliyopo bungeni ni uongo na unafiki na ubabe dhahiri....kwani wewe hauoni mambo yalivyo?ni ufitini umewajaa na unafiki wa kukataa halal dhahiri
Utajibeba!!!Nyie ndo mwakamatwa ka mkasi maana hata mkikamatwa hamjijui.
Huyo jamaa yenu asivyo na akili kashindwa kuwafafanulia jinsi sheria inavyotungwa, na nyie mnajikamatisha tu ka mkasi.