Kesi si alishinda na yuko mtaani? Mimi natamani siku moja masuala ya maslahi na dhuluma dhidi ya Waislamu yajadiliwe kwa uwazi tena kupitia mifumo rasmi ya Serikali. Manung'uniko kila siku yanarudisha nyuma umoja wetu maana mara nyingi tunatuhumiana na tunaojibu tuhuma sio watu rasmi.Labda kesi inam keep busy?
Kesi si alishinda na yuko mtaani? Mimi natamani siku moja masuala ya maslahi na dhuluma dhidi ya Waislamu yajadiliwe kwa uwazi tena kupitia mifumo rasmi ya Serikali. Manung'uniko kila siku yanarudisha nyuma umoja wetu maana mara nyingi tunatuhumiana na tunaojibu tuhuma sio watu rasmi.
Ilifika mahali ukiwa mkristo huwezi kukosoa waziwazi utawala wa JK. Likewise, leo ukiwa muislam ukakosoa utawala wa sasa utaonekana unakosoa sababu yuko dini tofauti. Binafsi naamin tuna maslahi mengi zaidi kuliko ya dini yanayotufanya tuwe na mtizamo tofauti. Kuna watu ni wapinzani kindakindaki, watahoji kila linalofanywa na CCM. Kuna wengine kwao ukanda/ukabila ndo kila kitu, atatetea kila kinachofanywa na kiongozi mkuu wa kabila lake. So let's not be too quick to judge.
Ukiwa na Baba kama Shibuda kwakweli ni jambo la kusikitisha sana, wengi tuna njaa lakini hatuko tayari kuuza utu wetu kwa sababu ya bosi gumbo.Jambo moja ambalo naona watanzania wengi hatujui kuhusu hawa watu wa aina ni hili: mishipa ya aibu ilishakufa zamani kabisa. Kwa kifupi ukisema unaandika au kuwasema ili uwaumbue unajisumbua bure. Wako tayari kuachama mbele ya kadamnasi bila nguo na wasione taabu yoyote. Leo nimesikiliza wazungumzaji waliokaribishwa kusalimia wananchi wa Mwanza kwenye viwanja wa furahisha wakati Magufuli anahutubia (walikuwa ni wabunge, madiwani na wachumia tumbo kama Shibuda) nilijikuta naona aibu mimi kwa jinsi walivyokuwa wanampamba rais. Ah... mimi siwezi kabisa!
Mkuu The Boss, kwanza kwa intelligence ulionayo, wewe ulipaswa kuwa recruited kujiunga na ile 'idara', basi tuu, ungekuwa kule usingepata taabu kuuliza nani ni nani, unapelusi tuu mafaili! . Jukwaa la Katiba bado lipo, anasubiri mchakato uanze tena atakuwa active tena. Na mimi pia nitakuwepo kupitia kampuni yangu ya PPR, nitatoa elimu ya umma, watu waipigie kura ya ndio katiba mpya.Harakati zake zimefia wapi?
jukwaa la katiba bado lipo?
Mkuu The Boss, kwanza kwa intelligence ulionayo, wewe ulipaswa kuwa recruited kujiunga na ile 'idara', basi tuu, ungekuwa kule usingepata taabu kuuliza nani ni nani, unapelusi tuu mafaili! . Jukwaa la Katiba bado lipo, anasubiri mchakato uanze tena atakuwa active tena. Na mimi pia nitakuwepo kupitia kampuni yangu ya PPR, nitatoa elimu ya umma, watu waipigie kura ya ndio katiba mpya.Harakati zake zimefia wapi?
jukwaa la katiba bado lipo?
Wewe unaamini hakuna cha kuzungumza kwenye Nchi hii??....hata kupanda kwa Bei ya Sukari pia sio kitu cha kuzungumzia?Kwa hiyo siku hizi mnawapangia cha kuzungumza? Kama hakuna cha kuzungumzia Tanzania ni lazima azungumze?
Mtukufu nimemsikiliza kidogo Leo huyu MTU asipoambiwa ukweli na wenye jukumu hill basis IPO Kazi.Shibuda,Cheyo ni so obvious wako na Magufuli simply ni mtu wa nyumbani
Kwa hiyo ukweli ni kuwa watu wengi wana hisia za kidini na kikabila kwenye siasa zetu
Ni kweli kabisa mkuu,hawa watu walikuwa na mpango maalum.Hadi Aninelea Nkya yuko kiimya...
JK alikuwa na staili ya uongozi unayoweza kusema legelege. Hilo ndo kosa lake kubwa. Ni mtu aliyetaka kupendwa na kila mtu. Sasa huyu wa sasa siyo legelege, ameshasema ukiandamana unapigwa. Hataki watu wampinge-so ishu sio dini maana hata wakati wa Kikwete, hakuna aliyempinga katika miaka yake ya mwanzo ya uongozi. Nitajie nani alikuwa anampinga Kikwete 2006, 2007?Nchi ina UDINI sana hii, unafiki mwingi! Hawa ndo walikuwa wakimsumbua JK kila siku kwakuwa tu sio wa dini yao
Mwanaharakati uchwaraNimeshangaa kumuona Deus Kibamba yuko Azam Two akizungumza kuhusu uchaguzi wa Zambia
nimejiuliza maswali kibao...
Ya Tanzania yoote yanayotokea 'hayaoni'?
Kwani huyu Kibamba kazi yake ya kila siku
'daytime job' ni ipi?
anaishi vipi?
Analipwa na nani kwa kazi zake hizi?
Why now yuko kiimya na Magufuli?
Mtukufu nimemsikiliza kidogo Leo huyu MTU asipoambiwa ukweli na wenye jukumu hill basis IPO Kazi.
Maana Mbowe angehutubia huku anachombeza na kichaga Moshi basis hadi Polish ingemuhoji.
Ukabila uliofanyika last election naona unapaliliwa kwa mbolea mpya. Yangu macho tu.
Bwana mdogo ukifa kabla yakubeba ujauzito wa Lowa...utakakokuwa hutakaa kwa Amani...poleHugo Kibamba ni sawa na Lowassa, si watu wa kuwaamini kirahisi..