The Planner
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 357
- 118
Jamani wadau, naomba msaada nataka kufungua kijikampuni changu cha kukodisha magari "Tours company" but sijui procedure zake.,tafadhari naomba mwenye details anijuze!
Kaka Planner,Jamani wadau, naomba msaada nataka kufungua kijikampuni changu cha kukodisha magari "Tours company" but sijui procedure zake.,tafadhari naomba mwenye details anijuze!
Kaka Planner,
Weka sawa thread yako ili usaidike mbele ya safari!
Je unachotaka ni -:
-kuanzisha kampuni ya tours au
-kukodisha magari kwa kampuni za tours?
Hivi ni vitu viwili tofauti, nakuomba uweke vizuri ili wachangiaji tuelewe mahitaji yako sahihi!, right?
Andika business plan italazimisha akili yako ifikirie na kutafuta yote muhimu unayohitaji kujua! I hope wewe sio mvivu wa kufikiria na kufanya utafiti!
Tatizo langu siyo business plan! ninayo in place with each and everything.,the only thing i need ni procedure za kufungua kampuni ya tours!
Mzee, inaonekana hujafanya homework yako ipasavyo! ONGEA NA WATU WALIO NDANI YA GAME HILO, usihofie-hao ndy watakupa picha halisi. Ujuen wakati mwingine inaweza kuwa shughuli pevu kuingia katika biashara hambayo hauna knowledge nayo hata kidogo! Ndy maana inakuwa rahisi zaidi kubase na kitu ambacho walau una mwanga nacho!
Ni mawazo tu.:mod: