digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,141
- 22,023
Aisifuye mvua ,imemnyeaNa wanaume kuwa na Govi ni kawaida tuu!
Aisifuye mvua ,imemnyeaNa wanaume kuwa na Govi ni kawaida tuu!
Mvua inakunyaje?Aisifuye mvua ,imemnyea
Mkuu Uliza wahengaMvua inakunyaje?
- Mwanamke akimletea maji ya kunywa mwanaume atapiga goti kwa heshima mpaka amalize kunywa
Wasukuma ni wakarimu sana hasa wa maeneo ya shinyanga, sio wachoyo wa chakula. Ukifanya nao kazi wakati wa mavuno watakuletea zawadi kama viazi,maziwa karanga za kutosha.
- Zamani walikuwa na utamaduni wa kutoa mahari na kuoa mimba. Akizaliwa wa kike atakuwa mke, akiwa wa kiume atakuwa rafiki.
- Rangi ya mwanamke na shape ndio zinatoa thamani ya mahari. Mwanamke mweupe ni kama lulu usukumani mahari yake inakuwa kubwa sana (ng'ombe wengi). Akiwa na mwili wanaamini atakuwa na uzao mwingi (watoto wengi). Familia zinaona fahari wakipokea mahari kubwa( ng'ombe wengi)
- Utajiri unahesabiwa kwa idadi ya ng'ombe na ukubwa wa familia (wake na watoto). Mtu anaweza kuwa na ngo'mbe 5,000 lakini analalia ngozi ya ng'ombe badala ya godoro.
Walikufirimba mkuu? si kwa ubaya lakiniNa wanaume kuwa na Govi ni kawaida tuu!
Ugali ni chakula cha bei rahisi sana, labda ungesema nyama, kuku na samaki havina bajeti wala kupima.Wasukuma sisi kwenye kura daah kiboko, nimejionea kijijini uko butundwe daah kiboko wale wanaume wanakula asee,,,kila mgeni akitembelea boma anapikiwa ugali mkubwa aijarishi amefika mda gani atapikiwa tu,,,na wana umoja balaa,,,,suala la bajeti kwa wasukuma sisi ni mwiko,hakuna bajeti ,,hakuna kupima eti unga wa ugali ahahah ni kuchota,,,na kikibaki hawali viporo wanamwaga wanapika kingine
Umemuuliza hilo swali halafu unamueleza si kwa ubaya?Walikufirimba mkuu? si kwa ubaya lakini
Umesahau na ile ya kukata matonge matatu ya ugali na kua nayo mkononi kwa pamoja.
Kuna ubaya gani hapo mkuu?Umemuuliza hilo swali halafu unamueleza si kwa ubaya?