Desturi za wasukuma

Desturi za wasukuma

Uongo niliwahi kuwa na msukuma tabia zake zilizokuwa zinanikera ni kufuatiliwa basi ila mengi raha tu anajua kupenda kutunza sana . Hana tabia kama hizo .
Saa ya chakula mtakula wote na kukulisha anakulisha na anakuwa nawewe kila saa sasa hizo tabia nasikia leo.
Baba yake hana tabia hizo so labda kijijini
 
Hutaki kufatiliwa.. ili ujivinjari na wadau
 
◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume
◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake wanakula kivyao na wanaume kivyao
◇Mwanamke lazima uanze kumsalimia mmeo tena kwa kisukuma hhuna kiswahili
◇ wageni wakija lazima uwasalimie kwa kisukuma
◇ Mkipangwa kula na wageni kwa mtoto huruhusiwi kuchukua nyama kabla ya mgeni
◇ kwenye kuitna sasa mwanaume wa kisukuma hawezi kukuita jina lako badala yake atakuita ng'wanajuma 😁(maana ake mtoto wa juma)
Naishia hapo
Hapo kwenye kusalimia kisukuma.....
Hata tukutane mlimani City, ni mwangaluka/mwandela (wakubwa tunawapigia goti)
 
Back
Top Bottom