DESPACITO; wimbo uliotazamwa zaidi duniani (views billion3).

DESPACITO; wimbo uliotazamwa zaidi duniani (views billion3).

Habari,

Kwa wale wadau wa muziki na wafuatiliaji ,Luis fonsi ft Daddy Yankee(latin american)amevunja rekodi ya DUNIA baada ya wimbo wake aliourelease YouTube miezi 6 iliyopita kutizamwa Mara bilioni 3 YouTube.

Kiukweli video ya wimbo huu ipo vizuri Sana!!!!!kuna dance moves sijui niite kubambia ama nini!,,'pale wanapoimba de--spa---cito'kuna namna Fulani wanapacheza 'sexy and unique of course!'.hivyo wimbo unapaswa uwekeze kwenye lyrics,theme,na hata video.!

Hapo nyuma rekodi io ilishikiliwa na mkorea aneitwa Psy,wimbo ulikuwa unaitwa gangnam style,,wimbo ulitazamwa sana mpaka mtandao wa YouTube ukashindwa kuhesabu!!,,ingawaje wimbo wa 'see you again wa wizkhalifa ulikuja kuipita gangnam style(lakini bado gangnam style ya mkorea ndio iliyoshikilia rekodi kwa miaka karibia mitano..

Kitu interesting about this song(despacito)ni kutazamwa kwa kasi kubwa kupita kiasi!!,July/2017 ulikuwa na views 2.4-2.6 mpaka august/2017(mwezi mmoja tuu)umegonga 3billion views!!,,hii inamaanisha kuwa ndani ya mwezi mmoja umetazamwa zaidi ya mara milioni mia sita..wonderful enough wimbo haujaimbwa kwa kingereza

Ikumbukwe kuwa Justin bieber aliufanyia remix (depacito)kitendo kilichopelekea huu wimbo kupenyezwa kwa jamii ya wanaozungumza kingereza,hivyo wimbo ukazidi kupata umaarufu.

Kwa sasa nyimbo tatu zinazoongoza kwa views nyingi ni.
1.despacito-3bil
2.see you again-3bil
3.gangnam style- 2.9bil

Hiyo ni kwa YouTube tuu,ukijumlisha na streaming services nyingine kama Spotify,apple nk unaongoza kwa kutizamwa Mara 4.6bil.
 
Yeye ajasemwa kalipwa hela ngapi?!

Maana kama angekuwa huyu jamaa wetu wa Madale tusingelala.
 
Yeye ajasemwa kalipwa hela ngapi?!

Maana kama angekuwa huyu jamaa wetu wa Madale tusingelala.
Sijui exactly!
Kwanza Luis yuko vevo!hivyo malipo yake ni mazuri kwa kila view!achilia mbali music stores kama spotify ,apple na nyinginezo watu wameununua sana!,
 
Hii nyimbo sijaona uzuri wake.
Ukiniwekea bairando na hyo despacito.nitachagua bairando.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchaguzi ni wako,japo kwa kizazi hiki matumizi ya internet yamekuwa kwa Kasi kubwa,hivyo watumiaji ni wengi sana!,rate ya kushare imekuwa kwa asilimia nyingi sana(mfano,msanii mkubwa kupost insta nyimbo huifanya iwe viral),automatically hata views YouTube inaongezeka kuliko nyimbo za zamani(bailando ina views kama bil 2.2/3

Japo haindoi ukweli kuwa 'despacito' ni tishio!,kutazamwa kwa wastani Mara milioni 500 kwa mwezi sio mchezo!,sio kawaida!,,!

Ni wimbo mtamu sana!'slowly-mean despacito'.Ukicheki lyrics za kingereza utapenda

Off course kuna 'dance moves' unique sana
 
Mimi nilijua tu,mwezi mmoja na nusu uliopita wakati see u again inaipiku gangnam style wenyewe ulikuwa na 2.5 wakati umetoka mwaka huu.

Sasa tutegemee kufika hata 5b ndani ya mwaka na nusu.
 
Yeye ajasemwa kalipwa hela ngapi?!

Maana kama angekuwa huyu jamaa wetu wa Madale tusingelala.

Sio yeye tu, hata Milald Ayo ameshasemwa analipwa pesa nyingi, mbona hujamtaja unamkimbilia huyo wa Madale?
 
Back
Top Bottom