Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,312
- 12,198
Luis Fonsi na Daddy Yankee wimbo wao wa Despacito umeweka record ya kuwa wimbo wa kwanza kutazamwa zaidi Youtube kwa kupata viewer billion 3 (duniani makadirio tupo billioni 7).
Kwa kupitia viewers hao hii inafanya unakua wimbo wa kwanza kufikisha views billioni 3 na wimbo uliotazamwa zaidi kwenye historia ya binadamu.
Wimbo uliokua umeshikiria record ya kutazamwa zaidi ulikua wimbo wa Wiz Khalifa aliomshirikisha Charlie Puth’s uitwao See You Again uliokua na viewers 2,998,297,290.
Na mwanamuziki ambae ameusaidia wimbo huu kujulikana zaidi akiwa ni mwanamuziki Justin bieber ingawa yeye alishirikishwa kwenye remix ya wimbo huo.
Kumcheki nenda IG @luisfonsi