Huenda hukuzifahamu ngoma zenye mashabiki na wafuatiliaji wengi duniani

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,830
10,041
Wacha niwaorodheshee Top 15 ya ngoma pendwa duniani

1. Despacito ya Luis Fonsi na Daddy Yankee yenye watazamaji 8,441,831,151846,384 YouTube
maxresdefault.jpg


2. See You Again ya Wiz Khalifa na Charlie Puth yenye watazamaji 6,263,172,6341,058,775 YouTube

3. Shape of You ya Ed Sheeran yenye watazamaji 6,260,071,013634,201 YouTube

4. Uptown Funk ya Mark Ronson na Bruno Mars yenye watazamaji 5,223,864,8431,090,211 YouTube

5. GANGNAM STYLE ya PSY yenye watazamaji 5,151,143,8631,138,388 YouTube

6. Dame Tu Cosita ya El Chombo na Cutty Ranks yenye watazamaji 4,631,668,9671,361,320 YouTube

7. Crazy Frog - Axel F yenye watazamaji 4,535,493,6721,850,837 YouTube

8. Sugar ya Maroon 5 yenye watazamaji 4,045,869,239544,988 YouTube

9. Counting Stars ya OneRepublic yenye watazamaji 4,019,315,350508,838 YouTube

10. Roar ya Katy Perry yenye watazamaji 4,001,802,827420,050 YouTube

11. Waka Waka ya Shakira yenye watazamaji 3,927,014,319862,633 YouTube

12. श्री हनुमान चालीसा 🌺🙏| Shree Hanuman Chalisa Original Video |🙏🌺| GULSHAN KUMAR | HARIHARAN yenye watazamaji 3,841,205,4551,718,374 YouTube

13. Sorry (PURPOSE : The Movement) ya Justin Bieber yenye watazamaji 3,802,761,452440,099 YouTube

14. Thinking Out Loud ya Ed Sheeran yenye watazamaji 3,768,359,244395,329 YouTube

15. Mama Mkwe ya African na Michael Jackson yenye watazamaji 3,360,123,999557,442 YouTube

==================
Mpaka sasa, wimbo ulio bora ni Des Pacito wa Luis Fonsi

Msanii bora wa dunia kutokana na rekodi ni Ed Sheeran

Where are My Country People? 😭😭
 
"Invest for your country make it a better place, spend your money for your country make it a better place"

By Tekno​
 
Passenger Let Her Go 3.6B


Afu vedio tulitolea kwa Afu tatu 😀
Kweli ile video aliitoa kimasihara sana,na ikabamba si masihara, ubunifu tu,mfano mimi huwa napenda vile alivyoingia stejini,halafu bado jamaa hajamaliza kupanga vyombo,ikawa hivyo hivyo tu,ila hatulali bila kuiperuzi.
 
Kweli ile video aliitoa kimasihara sana,na ikabamba si masihara, ubunifu tu,mfano mimi huwa napenda vile alivyoingia stejini,halafu bado jamaa hajamaliza kupanga vyombo,ikawa hivyo hivyo tu,ila hatulali bila kuiperuzi.
Inakimbiza balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom