DESPACITO; wimbo uliotazamwa zaidi duniani (views billion3).

DESPACITO; wimbo uliotazamwa zaidi duniani (views billion3).

Me ni mmoja wa wale walioujua baada ya kushirikishwa justin beiber so wanaposema aliepropell umaarufu wake ni beiber naona wapo sawa mkuu!..
ile ya iliovunja rekodi sio remix ni o.g version na beiber hayupo

G.O.M.D
 
Hiyo video ina nini cha zida wataalamu wa haya mambo?
 
Sema ni ya kawaida flani ila kama nzuri vile maana mwenyewe mara kadhaa huwa nasema de-s-paci-to=slowly or gently ila kwa nini bailando ikashindwa kufikia views nyingi kiasi hicho nadhani pia ni ishara ya kukua kwa matumizi ya tech kama watu 3bls wameangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukua kwa wimbo wa Despacito na kutazamwa na watu wengi umechangiwa na vitu, ilihali remix aliyoshirikishwa Justin Bieber ni moja wapo, ila sababu kuu kabisa imesababishwa na mashabiki wa timu ya San Lorenzo toka kule Argentina waligeuza kuwa moja ya shangilia yao
 
3 billions, sio kila mtu, wengne wanairudia rudia kwnye devices tofaut tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Mbona hamuweki link yake humu sasa?

mzee mzima haishiwi maneno
 
Katika nyimbo top 10 kuangaliwa na watu wengi duniani kule Utube mie naipenda sana hii katika hizo top 10. Hii inashikilia namba ya saba.


 
daddy yankee lile dude lao na g unit lilikua balaa

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Alaf mm sijauona bado video yke....nackia audio tu
 
Nyimbo kali sana hiyo, ila nyimbo za mtindo huo zinapataga views nyingi kinoma.. Kuna mdada naye anaitwa INNA,akitoa nyimbo ni views 100Mil kuendelea
 
Back
Top Bottom