Design simple za Nyumba vyumba 2


safi sana mkuu!!
 
ungeweka na estimates za gharama mkuu, pengine itawafariji waoga wa ujenzi. Jambo zuri umefanya hilo
 
kwa muuza samaki ja mie!! sijui,

lbd Neema ya Mungu tu..
Hata kama unalima vibarua ukiamua utaweza tu kitu tunachotakiwa kuelewa thamani ya nyumba ni moja ila muda wa kujenga ni tofauti kutokana na utofauti wa kipato, hivyo kuna wengine nyumba hiyo hiyo inajengwa mwaka, mwingine miaka 2 , mitatu mpaka hata 7.

Changa nunua kiwanja pia usiangalie umbali maana wengi huwa viwanja vinapatikana unakuta hachukui anasema kule mbali mwisho wa siku hela anakuwa ametumia at the time anapata hela za kujenga na kununua kiwanja kule alikokukataa bei imepanda na watu wameanza kujenga na mwisho wa siku anachukua kwa bei juu kumbe kama angechukua kipindi kile angekuwa anaanza na ujenzi moja kwa moja
 
Vyumba vitano kwa design hii
 

mmhhh!! pengine upo kwa ajili ya kuinuliwa kwng!!

shukran kunitia moyo!! ubarikiwe
 
mwenye ramani jamani ya hako kajumba naomba hata pm...
najua humu tunasaidianaga vikubwa tu na vingi
 

Idea zako, ni nzuri. Kazi itafanyika tu, toa go ahead kazi ianze.
 
duh! Mungu sianifanyie muujiza!! moyo wangu umehuzunika lkn macho yamefurahia!
SUZANE, pole sana, ila hapa ndipo umasikini wa Watanzania unapoanzia!. Huyo Mungu anayemuomba akufanyie miujiza yumo ndani yako!. Ni wewe tuu ku will (tia nia kwa dhati), kuwa unataka kumiliki nyumba kama hiyo, amini nakuambia, njia zako zitafunguka na utamiliki na sii nyumba tuu, na gari zuri, kazi nzuri, mume mzuri, na familia bora, nzuri!, its all you, ndani ya uwezo wako!.

Karibu utembelee pande hizi
[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo[/h]
Pasco
 
Hapo mengi zaidi, join whatsapp group.

Call or Whatsapp: +255787459850
Wanabodi, naomba kutoa tuu angalizo dogo la experience yangu na Jerhy.

Mwaka juzi 2013 aliweka tangazo kama hili humu jf na link yake ya fb, kiukweli nikawa very impressed na nikamcontact kupitia simu na e-mail tukawasiliana kwa e mail hii
Jerhy M <jerhymai@gmail.com> na kupanga atafanya site visit ili kazi ianze soonest possible!.

Kiukweli jamaa yangu huyu, aliingia mitini jumla na e-mails zangu zikawa hazijibiwi tena!.

Nikapata mawazo mawili,
1. Labda jerhy ni dalali tuu wa kuweka hizi michoro bomba, ili tuu kuvutia watu, lakini mtekelezaji ni mwingine, hivyo mtu ukiwa very serious kumtafuta na mtekelezaji hayupo, dawa pekee ni kuingia mitini!.
2. Kweli Jerhy ndio yeye na ni very genuine, ila demands za kitu nilichohitaji mimi,kilikuwa ni too much kwake hivyo kujikuta hawezi, ila kusema siwezi pia hawezi, hivyo dawa pekee ikawa ni kuingia mitini jumla!.

Lengo la angalizo hili sio kutaka kumharibia Jerhy biashara yake, bali kutoa angalizo tuu, msije kuhamasika too much na kuwa na too much expectations ukatoka mbio kumtafuta faster ukitegemea it is as simple as anavyoeleza humu!, no way!, it is not that simple!. Unaweza kujikuta wewe sasa ndio unambelelezea kumpa mtu kazi!.Haya maelezo ya Jerhy humu ni matamu zaidi kuliko reality!.

Note: Next time Jerhy, ukitoa tangazo, please be serious kufutilia serious people wanaokutafuta!. tena hili angalizo langu humu ndio kwanza nimekusaidia ili ujirekebishe, kama ningeamua kusemea kule kwenye uwanja wangu wa kujidai kuwa huu ni utapeli tuu wa kutamanishana watu mijengo mizuri mizuri lakini ukiwatafuta hawa watu, wanaingia mitini!, ingekuharibia!.

NB. Kama case yangu was just one isolated na imetokea kwa bahati mbaya tuu, then sorry, endelea na matangazo yako.

Pasco
 

Naomba uthibitishe mawasiliano yako na mimi na nikuombe radhi unitafte tena 0787459850 napatikana hewani, usitumie email.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…