Dereva wa tax mtandao/bolt

Dereva wa tax mtandao/bolt

Nehemia Elias

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
15
Reaction score
12
Mimi ni dereva wa tax mtandao, mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya minne natafuta gari ya kufanyia kazi
. Naishi dar es salaam kwa mawasiliano ni 0621704041.
 

Attachments

  • 17950676999804964936848384706543.jpg
    17950676999804964936848384706543.jpg
    680.1 KB · Views: 5
Kati ya toyota ist na toyota alphad ipi sahii kwako na kwasiku utaleta sh ngapi? Gar zote hizo zipo moro na hazina mfumo wa gass
 
Zote zinafaa ila kwa mimi napenda kufanyia kazi IST ila Alphad ni nzuri zaidi zikiwa kwenye mfumo,IST hesabu yake bila mgumo wa gas ni 150000 na gas 200000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom