dereva bolt

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Bolt yatangaza kumfungia akaunti Dereva aliyemfanyia fujo mteja

    Kampuni ya Bolt imemmsitishia huduma dereva mmoja jijini Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya abiria aliyedai kufanyiwa fujo na udanganyifu akiwa safarini. Abiria huyo alieleza kwenye video kuwa alikodi usafiri kutoka Pugu kwenda Oysterbay kwa Sh14,000, lakini dereva alimaliza safari kwenye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dereva Bolt/ Gari

    Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
  3. L

    JamiiForums Tanzania Dereva Bolt natafuta kazi

    Heri ya mwaka mpya, kwa majina Naitwa Christian naishi Dar es Salaam, Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti nan passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0698568933. Heri ya...
  4. Lovelovie

    JamiiForums Tanzania Dereva Bolt amemjeruhi rafiki wa dada yangu na kutokomea

    Majuzi mdada aliequest bajaji, bajaji kafika Mlimani City wakamwambia bajaji tuingize ndani bajaji akakataa wakamwambia tutalipia getini. Bajaji akakataa akageuza bajaji, mdada anavyoelezea. Ikafika sehemu kuna msongamano wa magari mwenzie akaruka akamuacha peke ake huko ndani ya bajaji. Mdada...
Back
Top Bottom