Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

Nyinyi si mlisamishwa mji mzima na Dangote?
Wakija humu maneno kibao, katoto ka miaka 17 tu kaliwatoa kamasi 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu

Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna wakushuka na wala wakupakia, wakwamwabia wapo wakushuka manzese

Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria Kwa hasira

Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho hapo Kuna walemavu kibao, akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo

Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida
Hata sikushangai wajinga mpo duniani.
 
Waajiriwa Pale Madereva Ni Wanajeshi Ndio Maana Wana Viburi Wanapokea Mishahara Miwili Utawaambia Nini. Kwa Akili Yako Ya Kawaida Muajiriwa Wa Kawaida Tena Kwa Mtaba Hawezi Fanya Huo Ujinga.
 
Da!! Too local ..safari bado ndefu mno
 
Hizi jeuri dar huko huko
Arusha kwanza wanakuruhusuje utoke nje ya kituo na umewapitilizisha kituo
Arusha inaongoza orodha ya majiji yote sita ya tanzania hii (yote nimefika na nimeishi kwa vipindi vifupi na virefu) kwa abiria kunyanyaswa na operators wa hivi vipanya tunavyoviita haice, zamani abiria wa tengeru /usa kidogo ndiyo waliokuwa na msuli wa kuwavimbia,ila sasa hivi hakuna kitu.
 
Dereva katoka Gerezani akiwa na hasira gari limejaa milango hadi inataka kupasuka, Akasimama Faya watu wakawa wanamwambia kwa jinsi Gari ilivyojaa sana unatuumiza funga fungua fuata utaratibu sababu gari ni express kama ilivyoandikwa simama manzese kama ilivyo taratibu

Dereva akasimama na Magomeni kwa hasira, hapo gari imejaa vibaya sana na ni express, watu wakaanza kelele tena unatuumiza huku mlangoni na hakuna wakushuka na wala wakupakia, wakwamwabia wapo wakushuka manzese

Dereva akasimama anaanza kuzozana na abiria Kwa hasira

Dereva akawasha Gari kutoka Magomeni hakusimama hata kituo kimoja kwa hasira akaenda kuwashusha Abiria wote Kimara Mwisho hapo Kuna walemavu kibao, akashuka akapotea kusikojulikana, likatokea bonge la fujo pale, watu warudishwe walipotokea fujo kubwa sana, ikabidi Gari achukue Dereva mwingine awarudishe watu waliopitilizwa vituo

Huu mradi unauliwa na wafanyKazi wenyewe ni shida
KIDUMU CHAMA cha mapunduzi
 
Waajiriwa Pale Madereva Ni Wanajeshi Ndio Maana Wana Viburi Wanapokea Mishahara Miwili Utawaambia Nini. Kwa Akili Yako Ya Kawaida Muajiriwa Wa Kawaida Tena Kwa Mtaba Hawezi Fanya Huo Ujinga.
Nahisi
 
Sitasahau siku moja asubuhi kabisa nawahi kwenda kariakoo pale usalama Nampa Hela mkata ticket ananiamba Hana chenchi nikatafute mim nimleteee ikiwa kamili ,muda huo Ni asubuhi hata maduka ya kununua vocha ili nipate Hela ya kumpa Hakuna .....aiseeee siku ile nilitoa tusi ambalo sikuwahi mtukana MTU yeyote toka nazaliwa .....Kwa hasira nikapanda pikipiki Kwa hasira ,nikala hasara maana nilitoa 6000 kwenye pikipiki
Ni tusi gani kali hilo ulitoa!?

Manake hakuna matusi mapya yanajirudia yale yale karne hadi karne
 
Back
Top Bottom