Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
Heshima zenu wakuu
ninaomba mnisaidie kwenye hii issue
kuna gari dogo grand mark ii inatakiwa kufanywa tax maana muda mwingi inakuwa imepark sio kwamba mwenyewe kafulia ila siku za kazini ofisini kwao wanamfata na kumrudisha na hana mishe nyingi mjini
je unafata utaratibu gani?
Usiposajili kama tax faida na hasara ni zipi?
Na je utapataje dereva/utaratibu wa kufata kumpa huyo dereva gari ni upi?
Asanteni ma great thinker