Aaaaah ww nae mbona unatubashite bashite banaahImetokea Geita baada ya dreva huyo kushindwa kupaki roli katika mkao mzuri. Jamaa mmoja akasema sasa mambo gani tena haya ya Bashite unatuletea hapa!! Ndipo dreva akatoka na panga na wakaanza kufukuzana na mungu alinusuru baada ya dreva kujikwaa na kuanguka. Hii imesaidia huyo raia kusalimika na kutokomea kusiko julikana.
Nani anapenda dharau sasa...mi mwenyewe ukiniita hivyo huna Bahati
Katoka kwenye gari akiwa macho nyanya akisema.........yaani mtu nina familia yangu unaniita Bashite!!!? Haiwezekani, ikabidi jamaa aanze mbele kwa kasi mbayaJina limekuwa baya kuliko kinyesi pyuuuuuu lkn baba jescer wala haoni ubaya huo dah
Neno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Dah halafu kweli kumbe bashite hana vitu vingi hana vyeti hana watoto hana akili dah sasa naanza kupigina na mi nikiitwa bashite[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji81]Katoka kwenye gari akiwa macho nyanya akisema.........yaani mtu nina familia yangu unaniita Bashite!!!? Haiwezekani, ikabidi jamaa aanze mbele kwa kasi mbaya
ubashite wa ujambaziNeno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Ukisikia watu wamepewa freedom of expression na wamepitiliza ndio kama hivi. We should not abuse the freedom we have.Neno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Neno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Sory mkuu kwani huyo bashite ndo nani maana hili jina limekuwa maarufu sana [emoji134]Imetokea Geita baada ya dreva huyo kushindwa kupaki roli katika mkao mzuri. Jamaa mmoja akasema sasa mambo gani tena haya ya Bashite unatuletea hapa!! Ndipo dreva akatoka na panga na wakaanza kufukuzana na mungu alinusuru baada ya dreva kujikwaa na kuanguka. Hii imesaidia huyo raia kusalimika na kutokomea kusiko julikana.
Sijakuelewa mkuu, hasa hiyo namba tatuNeno bashite lina maana nyingi:
1. Ubashite wa kupata ziro
2. Ubashite wa kugushi
3. Ubashite wa kupoteza marinda
....
Ni haki ya dereva kukasirika
Mwenye jina mwenyewe halitaki nani mwingine atalitakaImetokea Geita baada ya dreva huyo kushindwa kupaki roli katika mkao mzuri. Jamaa mmoja akasema sasa mambo gani tena haya ya Bashite unatuletea hapa!! Ndipo dreva akatoka na panga na wakaanza kufukuzana na mungu alinusuru baada ya dreva kujikwaa na kuanguka. Hii imesaidia huyo raia kusalimika na kutokomea kusiko julikana.