Dereva mzuri ni yupi?

Me lori sipandi afu kama mkulu ni dereva wa roli basi anaendesha mchanga ila sio watanzania
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Mtavyoamua msitutoe nje ya ILANI YETU YA UCHAGUZI Na ahadi za Mgombea wetu.Ameanza kuzitekeleza mnapiga kelele.Na yote rhreads zote zinazoandikwa ama KELELE nyingi zinazopigwa MH.Raisi wetu anatekeleza kwa vitendo ahadi zake.Na anaishi kwa kauli zake na Vitendo.Tunahitaji MAENDELEO YA NCHI NZIMA na siyo Matumbo Binafsi na ya Kikundi (Cartel) Leo mmepata sms.Mh.Piga kazi Umma tuko nyuma yako
 
Mi najua hata dreva akiwaendesha mwendo mkali mnapaza sauti anapunguza mwendo, labda kama kavaa headphones!
 
Mi najua hata dreva akiwaendesha mwendo mkali mnapaza sauti anapunguza mwendo, labda kama kavaa headphones!
Labda kama kavaa headphone [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kwa dereva wa abiria, ishara kwamba anaedesha vizuri ni pale asikiapo abiria wanapiga story na kucheka. Akisikia au kuona abiria wako kimya, lazima ajitafakari kuangalia mwendo wake au uendeshaji wake. Kwa sasa SUMATRA wametoa namba kwa ajili ya abiria kutoa juu ya mwendo wa gari.
 
Ni yule aliyepitia mafunzo ya udereva na ana lesen kama haitosh ni yule anayesikiliza maoni ya abiria wake hasa anapokwenda ndivyo sivyo.
 
Tulia dereva afanye kazi yake, kama unajua ungekuwa dereva wewe sasa
 
Chombo kikienda kwa mpangilio salama kikifuata njia sahihi abiria huwa wapole na watulivu, lakini ukiona abiria wanapiga mayowe chombo hicho kinaenda mrama ama kimepotea njia hivyo dereva makini lazima atachukua tahadhari kwa kuangalia mapungufu yako wapi. Kumbuka umepakia roho za binadamu na wala sio roho za ngombe unapaswa kuwasikiliza na sio kuwapuuza.
 
Ivi kwa mf buti liko wazi abiria hawezi kukuambia au
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…